Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Endelea kujisemesha eti mji gani umepangwa vizuri hapa Tanzania, hizi ni kauli za kujifariji miji mingi tu ipo vizuri na imepangwa vizuri kuliko hicho kituko cha mbeya.
Achana na Mbeya wewe komaa kwenye mabanda huko Mwanza hata Barabara hakuna
 
We nae unaongea upuuzi,huyo Nyerere na Wakoloni walikuwa waanatumia salary zao kupanga Miji?

Na wewe tumia mapato Yako Sasa ajiri kampuni binafsi zikapange harafu walipe.
 
Achana na Mbeya wewe komaa kwenye mabanda huko Mwanza hata Barabara hakuna
Nataka kuwasaidia mtoke huko kwenye mliko mtazani mnaishi karne ya nne, nataka msogee kuwa mji wa kisasa utuvutie na sisi kuweka kambi hapo.
 
Nataka kuwasaidia mtoke huko kwenye mliko mtazani mnaishi karne ya nne, nataka msogee kuwa mji wa kisasa utuvutie na sisi kuweka kambi hapo.
πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜… Ona huyu nguruwe,miaka 10 Bado mnarusha vipicha vya daraja tuu nothing else

Mbeya tuna miradi mikubwa ya Barabara ambazo Mwanza hamtakaa muwe nazo
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜… Ona huyu nguruwe,miaka 10 Bado mnarusha vipicha vya daraja tuu nothing else

Mbeya tuna miradi mikubwa ya Barabara ambazo Mwanza hamtakaa muwe nazo
Dual carriage ndio mnaanza kuiona mwakani na bado unajiona mjanja wa mbeya.
 
GDP ndio chakula? Utakula GDP wewe? 😁😁😁
Mwaka Jana mumeletewa chakula Cha njaa Kwa nini hukula GDP? πŸ€ͺπŸ€ͺ
Leta report kuwa mwanza imepelekewa chakula cha bei rahisi nitoke humu JF.
 
Hadhi ya jiji imepewa na jemedari mkapa sio kisiasa tulikuwa tunaongoza kwa kila kitu ukitoa barabara tu, we kaa ukishindana na jiji kubwa na lenye kuvutia kama Mwanza, wewe size yako ni Nzega na Namtumbo
Kila kitu kipi nyie manyumbu? Limji la hovyo huwezi jua wapi ni Kwa matajiri wapi Kwa maskini,hakuna Barabara,makazi duni,watu maskini na Magonjwa ya Kansa yametamalaki..

Mwanza ni Mji wa maskini
 
Leta report kuwa mwanza imepelekewa chakula cha bei rahisi nitoke humu JF.
Toa ujinga hapa,Rudi kwenye jukwaa letu kule zipo za kutosha,hata saizi ingia kwenye tovuti ya Serikali utaona ambavyo mko vulnerable na njaa.
 
Kila kitu kipi nyie manyumbu? Limji la hovyo huwezi jua wapi ni Kwa matajiri wapi Kwa maskini,hakuna Barabara,makazi duni,watu maskini na Magonjwa ya Kansa yametamalaki..

Mwanza ni Mji wa maskini
Nenda kaishi kama utaiweza, Mwanza watu wanaishi wasio na udumavu wa akili na Mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…