ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Achana na Mbeya wewe komaa kwenye mabanda huko Mwanza hata Barabara hakunaEndelea kujisemesha eti mji gani umepangwa vizuri hapa Tanzania, hizi ni kauli za kujifariji miji mingi tu ipo vizuri na imepangwa vizuri kuliko hicho kituko cha mbeya.