Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Endelea kujisemesha eti mji gani umepangwa vizuri hapa Tanzania, hizi ni kauli za kujifariji miji mingi tu ipo vizuri na imepangwa vizuri kuliko hicho kituko cha mbeya.
Achana na Mbeya wewe komaa kwenye mabanda huko Mwanza hata Barabara hakuna
 
ni uzembe wala wasijitetee, ni uzembe toka juu na kukosa maono,
Nyerere alipanga miji mingi - ubungo, national housing blocks nji nzima,
angalia wakoloni walipata wapi bajeti ?
ni utahira mnakimbilia kusema bajeti miji inaharibika. maeneo mazuri yamebaki yale aliyoanzisha mkoloni na NYERERE basi. endeleeni kusema bajeti
We nae unaongea upuuzi,huyo Nyerere na Wakoloni walikuwa waanatumia salary zao kupanga Miji?

Na wewe tumia mapato Yako Sasa ajiri kampuni binafsi zikapange harafu walipe.
 
Achana na Mbeya wewe komaa kwenye mabanda huko Mwanza hata Barabara hakuna
Nataka kuwasaidia mtoke huko kwenye mliko mtazani mnaishi karne ya nne, nataka msogee kuwa mji wa kisasa utuvutie na sisi kuweka kambi hapo.
 
Nataka kuwasaidia mtoke huko kwenye mliko mtazani mnaishi karne ya nne, nataka msogee kuwa mji wa kisasa utuvutie na sisi kuweka kambi hapo.
😁😁😅😅 Ona huyu nguruwe,miaka 10 Bado mnarusha vipicha vya daraja tuu nothing else

Mbeya tuna miradi mikubwa ya Barabara ambazo Mwanza hamtakaa muwe nazo
 
😁😁😅😅 Ona huyu nguruwe,miaka 10 Bado mnarusha vipicha vya daraja tuu nothing else

Mbeya tuna miradi mikubwa ya Barabara ambazo Mwanza hamtakaa muwe nazo
Dual carriage ndio mnaanza kuiona mwakani na bado unajiona mjanja wa mbeya.
 
Kama watu ndio uchumi Kwa nini mnaongoza Kwa umaskini? 🤪🤪
Huwa sipendi kuongea sana na waka sikulaumu tatizo ni udumavu wa akili na mwili kwenye mikoa yenu
20230104_210423.jpg
 
Hadhi ya jiji imepewa na jemedari mkapa sio kisiasa tulikuwa tunaongoza kwa kila kitu ukitoa barabara tu, we kaa ukishindana na jiji kubwa na lenye kuvutia kama Mwanza, wewe size yako ni Nzega na Namtumbo
Kila kitu kipi nyie manyumbu? Limji la hovyo huwezi jua wapi ni Kwa matajiri wapi Kwa maskini,hakuna Barabara,makazi duni,watu maskini na Magonjwa ya Kansa yametamalaki..

Mwanza ni Mji wa maskini
 
Leta report kuwa mwanza imepelekewa chakula cha bei rahisi nitoke humu JF.
Toa ujinga hapa,Rudi kwenye jukwaa letu kule zipo za kutosha,hata saizi ingia kwenye tovuti ya Serikali utaona ambavyo mko vulnerable na njaa.
 
Kila kitu kipi nyie manyumbu? Limji la hovyo huwezi jua wapi ni Kwa matajiri wapi Kwa maskini,hakuna Barabara,makazi duni,watu maskini na Magonjwa ya Kansa yametamalaki..

Mwanza ni Mji wa maskini
Nenda kaishi kama utaiweza, Mwanza watu wanaishi wasio na udumavu wa akili na Mwili.
 
Back
Top Bottom