Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani hutaki Malls.

Akili za Kikolo kabisa hizi, Unataka muendelee kuexpand slums sio [emoji36]
Ndio tumeanua kuwa na akili hizo Sasa ,kinachowawasha ni kipi?
 
Umeongea kweli tupu mkuu, viongozi wa Jiji la Mbeya hawana ubunifu kabisa. Nakumbuka mara ya kwanza kufika Mbeya nilikua nashangaa kuona watembea kwa miguu wakifika barabara ya lami lazima wakung'ute miguu, nilikua kuelewa kumbe wanakung'uta vumbi. Kingine kicho udhi Mbeya traffic, barabara yenyewe moja TANZAM highway traffic wamejaa barabara nzima. Ubunifuwa kupunguza ajali kwenye mitermko ya mbalizi na mlima nyoka ni ziro kabisa.
Na hata mbunge wetu sijawahi kusikia akiongelea maendeleo ya Jiji la Mbeya.
 
Dah kumbe Mbeya kijijini bora Singida
 

Yupo busy na mambo ya serikali kuu. Mambo ya jimboni yana maana kidogo sana kwake. Mambo ya bandari na agenda za serikali kuu ndio kipaumbele, nyie watu wa isanga tukutane miezi kadhaa kabla ya uchaguzi.
 
Umetumwa kutuchafua ushindwe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanza nalo ni Jiji au mnaishi kwenye mamilima ,mawe,mapango na vijumba kama mabanda ya nguruwe 70% mnakaa huko hakuna hata usafiri, pumbavu
Nguruwe mnafuga nyie watu msiokuwa na mifugo. Usicheze na Jiji la pili hapa TZ. we endelea kujifunza uchawi huko Nkasi. Huna sifa ya kuishi kwenye majiji pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…