Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Yan unavyo argue tu unazipa nguvu hoja za mleta mada, yan wewe ni kioo halisi cha backwardness ya Kijiji cha Mbeya

CC. game over
 

Mbeya in uwanja mkubwa we ndege kuliko Zanzibar , is this a kind of joke ?
 
Nakubaliana nawe. Mimi ni mzaliwa wa Mbeya nafanya kazi mkoa mwingine,having said so my entire clan wanaishi Mbeya. Natembelea sana Dar na Arusha, na Mwanza to some extent. Mbeya bado sana kuitwa Jiji. To me hali imezidi kuwa mbaya, the city is growing backwards. Katikati ya mji ingewekwa sheria ya kuencourage majengo marefu tu kupungusha kasi ya mji kupanuka kusikojulikana. Vijumba vya chinichini tu na katikati ya mji ni nyumba chovu balaa. Eneo pekee lenye hadhi ni maeneo ya zunguni around kwa mkuu wa mkoa na hospitali ya rufaa, ukishuka chini ni balaa. Kulikuwa na daladala nyingi, siku hizi zimeshajifia ni boda na bajaj tu. Ukikaa nje ya mkoa for few years ukipita unaona afadhali ya last time. Vumbi ni kukosekana kwa barabara nzuri, mji ulitelekezwa sana for some years hakukuwa na uwekezaji. It's sad kwakweli.
 
Sasa unatulaumu sisi tunakosa gani?Mji una pani la ule mzee.
 
Kuna yule popoma sugu aliyeishia la saba ni kufanya uhuni tu

Huyu tulia naye nilimwona mtu wa maana naye ameungana na mafisadi ya kiarabu kuuza nchi

Achana na Sugu babu,Ukitaka kujua ni mtu mweledi angalia hotel aliyojenga.Unamfananisha Sugu na Tulia kweli?
 
Ni jiji lisilokuwa na organized CBD.
 
Miaka ijayo kulinganisha na Jiji gani ukitoa Dar?
Uchumi kk au sio ww ulisema maneno ya uchumi apo juu?
Unajua Arusha inaendeshwa na Utalii...spending ni kubwa ,Apo dodoma kuna nn?[emoji2][emoji2][emoji1787]
Hivi unafikiri mji ni blocks mbili tatu za wizara peke yake?

Arusha kuna madini(mbera)...ni mkoa wa kilimo pia na ufugaji...sijui mtatokea wapi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo uchumi wa Jiji la Dom ni sawa na Uchumi wa Jiji lipi Kwa Sasa hapa Tzn ukitoa Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…