Yan unavyo argue tu unazipa nguvu hoja za mleta mada, yan wewe ni kioo halisi cha backwardness ya Kijiji cha MbeyaHapo hakuna jipya uliloandika sana sana uko uninformed ,Mbeya Ina Master Plan yake ambayo ilizinduliwa na Waziri na pia Kuna kujenga upya maeneo ambayo halijengwa kama Slums and so any new developments inafanywa Kupitia hiyo..
Mojawapo ya uongo ni kusema eti Mbeya hakujengwi Nyumba za Kisasa 😁😁
CC. game over