Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Hapo hakuna jipya uliloandika sana sana uko uninformed ,Mbeya Ina Master Plan yake ambayo ilizinduliwa na Waziri na pia Kuna kujenga upya maeneo ambayo halijengwa kama Slums and so any new developments inafanywa Kupitia hiyo..

Mojawapo ya uongo ni kusema eti Mbeya hakujengwi Nyumba za Kisasa 😁😁
Yan unavyo argue tu unazipa nguvu hoja za mleta mada, yan wewe ni kioo halisi cha backwardness ya Kijiji cha Mbeya

CC. game over
 
Mbeya ni kubwa kuliko Zanzibar pia ina watu wengi kuliko Zanzibar, lakini Zanzibar ni nchi, kwa hiyo usishangae, Mbeya ina jengo la ghorofa 5 Zanzibar haina, lakini Zanzibar ni nchi, Mbeya ina uwanja mkubwawa ndege kuliko wa Zanzibar lakini Zanzibar ni nchi, uchumi wa Mbeya ni mkubwa kuliko wa Zanzibar lakini Zanzibar ni nchi labda wametuzidi kwa kuwa na akina Jussa wengi.

Mbeya in uwanja mkubwa we ndege kuliko Zanzibar , is this a kind of joke ?
 
Nakubaliana nawe. Mimi ni mzaliwa wa Mbeya nafanya kazi mkoa mwingine,having said so my entire clan wanaishi Mbeya. Natembelea sana Dar na Arusha, na Mwanza to some extent. Mbeya bado sana kuitwa Jiji. To me hali imezidi kuwa mbaya, the city is growing backwards. Katikati ya mji ingewekwa sheria ya kuencourage majengo marefu tu kupungusha kasi ya mji kupanuka kusikojulikana. Vijumba vya chinichini tu na katikati ya mji ni nyumba chovu balaa. Eneo pekee lenye hadhi ni maeneo ya zunguni around kwa mkuu wa mkoa na hospitali ya rufaa, ukishuka chini ni balaa. Kulikuwa na daladala nyingi, siku hizi zimeshajifia ni boda na bajaj tu. Ukikaa nje ya mkoa for few years ukipita unaona afadhali ya last time. Vumbi ni kukosekana kwa barabara nzuri, mji ulitelekezwa sana for some years hakukuwa na uwekezaji. It's sad kwakweli.
 
Kuna yule popoma sugu aliyeishia la saba ni kufanya uhuni tu

Huyu tulia naye nilimwona mtu wa maana naye ameungana na mafisadi ya kiarabu kuuza nchi

Achana na Sugu babu,Ukitaka kujua ni mtu mweledi angalia hotel aliyojenga.Unamfananisha Sugu na Tulia kweli?
 
Dodoma imepiga Chini kuanzia Arusha Hadi Mwanza
Arusha kuna uzuri wake tu hata dodoma ijengwe hadi iweje...View attachment 2689605
20230505_161855.jpg
20220902_093737.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana nawe. Mimi ni mzaliwa wa Mbeya nafanya kazi mkoa mwingine,having said so my entire clan wanaishi Mbeya. Natembelea sana Dar na Arusha, na Mwanza to some extent. Mbeya bado sana kuitwa Jiji. To me hali imezidi kuwa mbaya, the city is growing backwards. Katikati ya mji ingewekwa sheria ya kuencourage majengo marefu tu kupungusha kasi ya mji kupanuka kusikojulikana. Vijumba vya chinichini tu na katikati ya mji ni nyumba chovu balaa. Eneo pekee lenye hadhi ni maeneo ya zunguni around kwa mkuu wa mkoa na hospitali ya rufaa, ukishuka chini ni balaa. Kulikuwa na daladala nyingi, siku hizi zimeshajifia ni boda na bajaj tu. Ukikaa nje ya mkoa for few years ukipita unaona afadhali ya last time. Vumbi ni kukosekana kwa barabara nzuri, mji ulitelekezwa sana for some years hakukuwa na uwekezaji. It's sad kwakweli.
Ni jiji lisilokuwa na organized CBD.
 
Miaka ijayo kulinganisha na Jiji gani ukitoa Dar?
Uchumi kk au sio ww ulisema maneno ya uchumi apo juu?
Unajua Arusha inaendeshwa na Utalii...spending ni kubwa ,Apo dodoma kuna nn?[emoji2][emoji2][emoji1787]
Hivi unafikiri mji ni blocks mbili tatu za wizara peke yake?

Arusha kuna madini(mbera)...ni mkoa wa kilimo pia na ufugaji...sijui mtatokea wapi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Uchumi kk au sio ww ulisema maneno ya uchumi apo juu?
Unajua Arusha inaendeshwa na Utalii...spending ni kubwa ,Apo dodoma kuna nn?[emoji2][emoji2][emoji1787]
Hivi unafikiri mji ni blocks mbili tatu za wizara peke yake?

Arusha kuna madini(mbera)...ni mkoa wa kilimo pia na ufugaji...sijui mtatokea wapi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo uchumi wa Jiji la Dom ni sawa na Uchumi wa Jiji lipi Kwa Sasa hapa Tzn ukitoa Dar?
 
Back
Top Bottom