Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Old Airport ni kubwa sana,kupumua kupinunakokusema wewe? Ma stand ya Magufuli mbezi,Na za Mwanza ziko Nje ya Mji? Maeneo yake yanalingana Ukubwa na Old Airport?

Safi sana Jiji Kutenga Old Airport kuwa Stand Mpya ,tusiige hao nyumbu wengine wa Majiji ya huko ambao wameweka Stand zao mbali na Mji..

Mwisho Mbalizi sio sehemu ya Jiji la Mbeya,kule ni Mbeya DC ,sana sana Kuna mapendekezo ya kuanzisha Manispaa ya Mbalizi kama itapita ndio itapata Kujitegemea na kuwa na Bajeti zake ila Kwa Sasa Haina .
 
Hizi picha hapa walioiga angle gani? 😆😆😆

Itakuwa uliwahi sukumiwa Mdudu na mtu wa Mbeya wewe sio bure 😁😁😁
 
Huyo mbumbumbu hawezi elewa,Nilimuuliza Mwanzo kwani zile frame Zina shida gani akatokomea 😜😜
 
Wewe kinachokusumbua ni ushamba,Sasa ni hivi hizo malls kajenge wewe huko kwenye Miji ya Kisasa,Mbeya hawazihitaji Wala hawana shida na ndio maana wawekezaji hawawezi kujenga huo ujinga..

Tena hapo Kabwe Pako safi kabisa sio sawa na Kariakoo kukikomwagwa bidhaa Hadi sehemu ya kupiga hakuna au Mbagala kule Kuna nuka Kila sehemu Sasa umewahi sikia Mbeya inanuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…