Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mipangilio ya miji yetu mingi inareflect thinking capacity tuliyonayo wala sio vinginevyo. Na hii ni kwa Africa nzima I think wala sio kwa bahati mbaya.

Ni kweli, inareflect . Nadhani pia tuna watu wasio sahihi kwenye sehemu za kufanya maamuzi. Watu sahihi na wenye mawazo mazuri wapo na hata wakipata nafasi ya kuwa viongozi wanaishia kupigwa vita kama sio kupotezwa kabisa . Mfumo wetu unaruhusu machizi wengi kuwa viongozi. Ndio maana unaona sekta binafsi wanatoboa mambo yao, mipango yao kwa unahisi sababu nafasi kubwa huko zinatolewa based on Merit,
Mtu kama hana uwezo hawezi kuwa mkurugenzi wa Vodacom au CRDB, hawezi toboa.
Ila inawezekana kabisa mtu akawa tu na kadi ya chama ikawa ni kigezo ukaqualify kuteuliwa kuwa mkurugenzi hata wa Air Tanzania au TTCL au Bank ya Posta . Such awkward system.
 
Nimeshangaa ulivyomuita sugu clown mi nikajua watu wa mbeya sugu ndie jembe lenu

alifanya nini Miaka 10 zaidi ya kujiimarisha yeye kiuchumi?
Uongozi sio kujenga hoja pekee, uongozi sio kutoa speech nzuri na za kuvutia, au kumotivate watu pekee au kuongea kwa vina .
Uongozi ni kuchukua hatua, kufanya intitiatives, kufungua fursa…kiongozi hatakiwi kukuelezea amefanya nini , anatakiwa akuoneshe.
 
Ulivyo ongea kwa ukali utadhani kuna mtu kakulazimisha kuishi mbeya

Kila sehemu na utaratibu wao wa maisha hujapapenda sepa

Wengine tulipaona pazuri tu
Kwa hiyo vumbi ndilo linafanya mbeya pawe pazuri?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Mleta mada ameeleza kero pamoja
Hoja hunibiwa kwa hoja. Mleta mada ameelezea kero kwa undani na kisha kushauri nini kifanyike.
Ukweli usemwe, ahadi kuijenga mbeya ni nyingi kuliko uhalisia wenyewe. Kama utakumbuka vizuri, uwanja wa Songwe uliahidiwa tangu mwanzoni mwa 2000, kwa. Ba ungekuja kuwa wenye hadhi ya kimataifa. Lakini wewe mwenyewe unajua umekamilika lini na upo katika kiwango gani.
Soko la uhindini lilipoungua miaka ya 2003 serikali ikasema itashusha mall pale kubwa ya hadhi ya jiji. Lakini mpaka sasa wewe unamajibu kamili nini kipo pale.
Kuna soko la mwanjelwa, baada ya kuungua, vilevile wakasema kutajengwa Soko la kisasa litakalohudumia nchi za SADCπŸ˜‚, bilions zimeenda na soko wewe mwenyewe unaliona lilivyo.
Stendi ya mabasi, ilikua inajengwa ya pale Sai tuliamini sasa kulingana na routes nyingi za mabasi, basi stendi hiyo itamaliza changamoto zote na itakua ya kisasa kama ya Nyegezi au Nyamongolo za Mwanza. Wewe unamajibu kamili nini kilichojengwa pale.
Turudi kwenye City Garden. Kama unakumbuka waliahidi ile garden itawakutanisha watu pale kwa ajili ya mapumziko na refreshment nyingine. Lakini nikuulize wewe kama wewe umewahi kwenda pale au kuna eneo specifically Mbeya la mapumziko ya watu kama ilivyo Mwanza? Nadhani majibu unayo.
Turudi kwenye barabara ya njia nne. Wewe kama wewe umeanza kusikia tetesi za kujengwa lini?? Kwa mimi nnchokumbuka ilikua ni kujenga njia ya mchepuko kutoka uyole mpaka Mbalizi lakini si hii ya njia nne. Sasa hivi ile mwezi wa pili au mwanzoni mwa mwezi Marxh tuliona utiwaji wa sign ujenzi wa barabara hiyo. Kwa sasa ni miezi mitatu imepita, je umeona hata maandalizi ya awali ya ujenzi huo???
MAMBO NI MENGI, lakini ukweli ni kwamba huo mkoa utauona ni mzuri kama hujafika Mwanza au Dodoma pamoja na Arusha ingawa Arusha stendi ya mabasi ndio mtihani lakini si haba mji upo clean.
Vijana wanaukimbia huo mkoa nyumba za majengo nyingi hazina watu kabisa
 
Me huwa naangaliaga hata criteria zetu za kupata wawakilishi wa kwenda kufanya maamuzi muhimu zaidi (wabunge) Unakuta ni za kipuuzi tu mwisho wa siku tunakuja pata mizog* kibao eti ndio inatuwakilisha kwa kufanya maamuzi muhimu na kuisimamia serikali... Inakera sana na tuna safari ndefu sana.
 
Upo sahihi kabisa, waa
Yo
Kati ya haya niliyoyaandika kuna hata moja lisilo la kweli?
Nimekuwa mbeya for years mzee tangu nipo sekondari. Kama hakutakuwa na namna tofauti ya kufikiria na kufanya mambo basi hakuna cha 2025 wala 2050 mzee.
Mji wa mbeya ni mji wa hovyo sana, mn

Ni kweli ulichozungumza, mji upo shagalabala,, yaani ni hovyo hovyo,, waanze na miundombinu ya barabara kwanza,
 
Nyumba za kisasa nimeziona, iwambi na isysye.. ila humu katikati sijaona ni za kizamani sana tena ni za tofali za udongo au kuchomwa
 
Najiuliza ni pabaya au Camera yako ndio inapiga picha mbaya?

Kwa sisi wageni na huo mji tunajiuliza au hii picha uliipiga mwaka 2009 BC?
 
mkuu una uhakika kuwa Mbalizi ipo jiji la Mbeya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…