nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Toa ujinga wako hapa. Mbeya jiji gani ambalo lina barabara moja tu kutoka Uyole hadi Mbalizi. FyuuuuuHawana Bajeti Wala hawajashindwa na pia siasa ndio hovyo xinaingilia..
Mji gani imepangwa hapa Tanzania?