Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Kwani Milima Iko Nje Misungwi si ipo hapo hapo Mjini πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hakuna Cha Bora tena ni hovyo 5 times than Mbeya.

Mwanza ni limji ya hovyo sana,kinachowabeba ni CBD basi
hata uko mlimani ukilinganisha na mbeya bado mbeya pa ovyo tu
 
View attachment 3100950
Na hapo ni katikati ya mji wa mbeya hawa ndo wapo juu ya mwanza πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜†
Kusema ukweli mbeya iko hovyo sana ,kuna vibanda vingi kuliko nyumba za maana,na makazi mengi ni holela sema tu jamaa hataki kukubaliana na ukweli kisa tu anatetea mbeya.Kiufupi jamaa anajua madhaifu mengi sana ya mbeya na anaujua ukweli ,anachojaribu ni kuleta ligi tu maana post zake nyingi za nyuma kaelezea madhaifu ya mbeya kama haya tunayoyasemea.Mbeya speed yake ya ukuaji iko slow sana na pia mamlaka za mji zimelala..zinaacha watu wajenge makazi holela na nyumba za matofali mabichi mijini.Mbeya nyumba zimerundikana kama kambi za wakimbizi hii yote ni kwa sababu ya ujenzi ni rahisi sana wa kutumia matofali mabichi (matope).Ndio maana mkoa umekuwa mchafu kupita maelezo.Mbeya tunapaswa kubadirika ,tuondoke kwenye zama za mawe za kale.
 
Vibanda vizuri ni hivi vya Mwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM-1.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.51-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.52-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.42-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.49-PM.jpeg
e4a664_bbd1ff8ae4af4da68adb26d8489fb7dc~mv2.jpg
slum tourism mwanza 1.jpg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.47-PM.jpeg
 
Back
Top Bottom