RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
I remember that death mkuu nlikuwaa advance lake zone miaka ileDuh, kifo kama cha somebody Mabina huko Kisesa Mwanza. Tutosheke na mali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I remember that death mkuu nlikuwaa advance lake zone miaka ileDuh, kifo kama cha somebody Mabina huko Kisesa Mwanza. Tutosheke na mali.
Sasa hapo serikali inahusikaje na ingejuaje hakimu atagombana na raia kwenye mapori Rungwe?Jambo lingine, serikali iangalie hawa watu waliopewa Mamlaka ya uamuzi. Hakimu mzima umeshindwa kwenye kesi badala ukate rufaa unalazimishia mabavu, yawezekana hata hukumu zake ni za kijanjajanja.
Tatizo kubwa mnooooAfrika ujinga ni tatizo kuu. Hakimu amekufa Kwa ujinga wake
Farid Kubanda a.k.a. Fid Q a.k.a. NgoshaChanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T - Fid Q (Zero).
Hapo Sasa Double Standard Hata Ccm Wanafanya Hayo HayoHakimu hakuheshimu hukumu iliyotolewa na mahakama ikiwa yeye ni expert katika masuala ya kesi na sheria....alale anapostahili
Eneo ambalo limesababisha auawe ni kubwa kuna karibia ekari 1000, ni msitu na ni hifadhi ambayo imekuwa ikisadia mvua, alinunua kinyemela, wananchi wakamshtaki Mahakamani.[emoji818]Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu....
Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya Wilaya hapa Handeni ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko Busokelo Tukuyu/Rungwe.
Marehemu alikuwa likizo maana huko Rungwe ndipo anapotokea.
Chanzo cha kuuawa ni Mgogoro wa Ardhi kati yake na wanakijiji hicho anachotoka.
Alishindwa kesi ya ardhi Mahakama Kuu dhidi ya kijiji, lakini baada ya muda akaonekana kwenye eneo la Mgogoro akiwa ameongozana na Watu wawili.
Inadaiwa kuwa yeye na watu hao wawili kuna vitu walikuwa wanavichimbia ardhini kwenye eneo hilo la mgogoro jambo ambalo lilitafsiriwa na wanakijiji kwamba ni ushirikina.
Wananchi walipowazonga watatu hao na kuwahoji kuhusu suala hilo, ugomvi ukatokea kati yao, jambo lililopelekea mmoja wa watu waliokuwa na Hakimu huyo kuwapiga risasi wanakijiji wawili miguuni.
Baada ya hapo wananchi wakapandwa hasira na kumshambulia kwa mawe na silaha mbalimbali Hakimu huyo pamoja mmoja wa watu aliokuwa nao, huku mwingine akitoweka kuelekea kusikojulikana.
Hivyo vifo vilivyoripotiwa ni viwili. Hakimu pamoja na mmoja wa watu alikwenda nao kwenye eneo la mgogoro.
Pole sana Mhimili wetu wa Mahakama, hasa Hakimu wa Wilaya Handeni Mhe.Sabuni kwa kuondokewa na mtumishi huyu. Poleni ndugu zangu wa Handeni.
Tuwaombee pumziko la amani - Amina.
===================
TAARIFA RASMI YA MKUU WA WILAYA
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Dkt. Vincent Anney amesema “Ni tukio la kweli, Hakimu alikuwa na mgogoro na Wanakijiji, yeye si mwananchi wa Rungwe ila alinunua eneo Rungwe.
“Zamani baba yake alikuwa anaishi Rungwe akahamia Kyela, hata yeye Hakimu alizaliwa hukohuko Kyela. Hapo kati alianzisha mgogoro na wananchi akisema anataka eneo la babu yake lakini hiyo ni sehemu nyingine, si sehemu ambayo tukio limetokea.
“Eneo ambalo limesababisha auawe ni kubwa kuna karibia ekari 1000, ni msitu na ni hifadhi ambayo imekuwa ikisadia mvua, alinunua kinyemela, wananchi wakamshtaki Mahakamani.
“Akashindwa kesi, alikuwa katika harakati za kukata rufaa, kesi ikiwa imeisha akaenda shambani akiwa na watu wengine wawili akaanza kuchimbachimba, inasemakana alikuwa anachimba dawa.
“Yakatokea majibizano kati yake na Wananchi waliofika eneo hilo, akatoa bastola na kuwapiga risasi Wananchi wawili miguuni.
“Wananchi wakakasirika na kuanza kumpiga kisha kusababisha kifo chake pamoja na mmoja kati ya wale watu wawili alioongozana nao, mwingine mmoja alitokomea haijulikani alipokwenda.
“Tumeshawakamata watu kama saba hivi kutokana na tukio hilo na uchunguzi unaendelea.”
Hatari kweli kweli...Kuna vijiji hawana macheko na hawatak madharau,sijui hata waliwezaje kujikusanya fasta hvyo na kufanya jambo.
Ila hicho kijiji watateseka mpaka wajute kuna nyumba zitabaki na wanawake tu
Inasikitisha sana.Bila kujali taaluma yakeYani unashindwa kesi unachimbia dawa kwenye ardhi, duh! hivi sisi binadamu tukoje? ardhi hii hii tunayozikiwa tunahangaika nayo kiasi kwamba uhai unapotea, alifikiri uhakimu wake ni katika kila kitu, kimsingi kwa stori hii inaitwa KOSA la Marehemu, awekwe anapostahili na aacha ushirikina na kutumia uhakimu vibaya, kiburi ni kitu kibaya sana kwa binadamu. Tuache kibri na majigambo.
Daah ushatengeneza movie tayariSio ajabu Kuna mgosi alikua amepania kumfunga kule Handeni. Mgosi akaenda kwa wataalam (Kama kawaida Yao) mtaalam akasakizia kifo mbaya wa mgosi na kumuambia ' huyu harudi Handeni Tena.
Handeni isikie kwenye redio tu.
NAWAPONGEZA SANA WANANCHITAARIFA RASMI YA MKUU WA WILAYA
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Dkt. Vincent Anney amesema “Ni tukio la kweli, Hakimu alikuwa na mgogoro na Wanakijiji, yeye si mwananchi wa Rungwe ila alinunua eneo Rungwe.
“Zamani baba yake alikuwa anaishi Rungwe akahamia Kyela, hata yeye Hakimu alizaliwa hukohuko Kyela. Hapo kati alianzisha mgogoro na wananchi akisema anataka eneo la babu yake lakini hiyo ni sehemu nyingine, si sehemu ambayo tukio limetokea.
“Eneo ambalo limesababisha auawe ni kubwa kuna karibia ekari 1000, ni msitu na ni hifadhi ambayo imekuwa ikisadia mvua, alinunua kinyemela, wananchi wakamshtaki Mahakamani.
“Akashindwa kesi, alikuwa katika harakati za kukata rufaa, kesi ikiwa imeisha akaenda shambani akiwa na watu wengine wawili akaanza kuchimbachimba, inasemakana alikuwa anachimba dawa.
“Yakatokea majibizano kati yake na Wananchi waliofika eneo hilo, akatoa bastola na kuwapiga risasi Wananchi wawili miguuni.
“Wananchi wakakasirika na kuanza kumpiga kisha kusababisha kifo chake pamoja na mmoja kati ya wale watu wawili alioongozana nao, mwingine mmoja alitokomea haijulikani alipokwenda.
“Tumeshawakamata watu kama saba hivi kutokana na tukio hilo na uchunguzi unaendelea.”
Missing in action
Nia hatuifahamu ila nadhani ilikuwa kuchimbia vitu ambavyo mhusika katika rufaa angetumia kama vielelezo vya umiliki na uhusika katika eneo husika.Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu....
Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya Wilaya hapa Handeni ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko Busokelo Tukuyu/Rungwe.
Marehemu alikuwa likizo maana huko Rungwe ndipo anapotokea.
Chanzo cha kuuawa ni Mgogoro wa Ardhi kati yake na wanakijiji hicho anachotoka.
Alishindwa kesi ya ardhi Mahakama Kuu dhidi ya kijiji, lakini baada ya muda akaonekana kwenye eneo la Mgogoro akiwa ameongozana na Watu wawili.
Inadaiwa kuwa yeye na watu hao wawili kuna vitu walikuwa wanavichimbia ardhini kwenye eneo hilo la mgogoro jambo ambalo lilitafsiriwa na wanakijiji kwamba ni ushirikina.
Wananchi walipowazonga watatu hao na kuwahoji kuhusu suala hilo, ugomvi ukatokea kati yao, jambo lililopelekea mmoja wa watu waliokuwa na Hakimu huyo kuwapiga risasi wanakijiji wawili miguuni.
Baada ya hapo wananchi wakapandwa hasira na kumshambulia kwa mawe na silaha mbalimbali Hakimu huyo pamoja mmoja wa watu aliokuwa nao, huku mwingine akitoweka kuelekea kusikojulikana.
Hivyo vifo vilivyoripotiwa ni viwili. Hakimu pamoja na mmoja wa watu alikwenda nao kwenye eneo la mgogoro.
Pole sana Mhimili wetu wa Mahakama, hasa Hakimu wa Wilaya Handeni Mhe.Sabuni kwa kuondokewa na mtumishi huyu. Poleni ndugu zangu wa Handeni.
Tuwaombee pumziko la amani - Amina.
===================
TAARIFA RASMI YA MKUU WA WILAYA
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Dkt. Vincent Anney amesema “Ni tukio la kweli, Hakimu alikuwa na mgogoro na Wanakijiji, yeye si mwananchi wa Rungwe ila alinunua eneo Rungwe.
“Zamani baba yake alikuwa anaishi Rungwe akahamia Kyela, hata yeye Hakimu alizaliwa hukohuko Kyela. Hapo kati alianzisha mgogoro na wananchi akisema anataka eneo la babu yake lakini hiyo ni sehemu nyingine, si sehemu ambayo tukio limetokea.
“Eneo ambalo limesababisha auawe ni kubwa kuna karibia ekari 1000, ni msitu na ni hifadhi ambayo imekuwa ikisadia mvua, alinunua kinyemela, wananchi wakamshtaki Mahakamani.
“Akashindwa kesi, alikuwa katika harakati za kukata rufaa, kesi ikiwa imeisha akaenda shambani akiwa na watu wengine wawili akaanza kuchimbachimba, inasemakana alikuwa anachimba dawa.
“Yakatokea majibizano kati yake na Wananchi waliofika eneo hilo, akatoa bastola na kuwapiga risasi Wananchi wawili miguuni.
“Wananchi wakakasirika na kuanza kumpiga kisha kusababisha kifo chake pamoja na mmoja kati ya wale watu wawili alioongozana nao, mwingine mmoja alitokomea haijulikani alipokwenda.
“Tumeshawakamata watu kama saba hivi kutokana na tukio hilo na uchunguzi unaendelea.”
Ndio uuliwe kwa sababu umechimba dawa sehemu sio yakoUtachimbaje eneo ambalo siyo lako hata Kama huweki kitu chochote!!??
Kwahiyo ukichomba dawa eneo sio lakonl inabidi uuliweUtachimbaje eneo ambalo siyo lako hata Kama huweki kitu chochote!!??
Kuua bila kukusudia = miaka 5 mahabusu + miaka 7 jela = 12 JELAIkiwa tayari hakimu alishawavunja wawili miguu huoni kama wananchi walikuwa wanajitetea na wameua bila kukusudia?