Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo , na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji .

Usiku wa Deni hauchelewi , Alhamisi siyo mbali .
hamna kitu hapo, CCM wameshatoa maagizo. Come what may wakija DP world tuwapige na mawe, ikibidi mabomu
 
Screenshot_20230807-111306.jpg
 
Simu imepigwa
Aliyosema Rostam ndio haya ????sasa nyie mnaelekezwa la kufanya lakini angalieni sana nchi hii sio ya kuchezea chezea tena..Mkienda njia hiyo ya usanii kama watu wakikosa Haki zao kwenye vyombo basi itakua shida...
 
"AU ndio wasubiria maelekezo kutoka juu,muhimili uliojichimbia Sana?"-By Rostam Aziz
 
Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.

Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali.

Pia soma

---

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa bandari baada ya mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharura (kutokuwepo mahakamani) hivyo msajili wa mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023.

Majaji wa2 waenda Msikitini. Jaji mmoja mwenda Kanisani. Huyu mmoja atakuwa amepingana na wenzake wa2.
 
Tumeelewa wenye akili

Nawatakia Nane Nane yenye baraka 😂🔥🔥🤣
kwani kesi zingine zinavyoahirishwa mbona hamsemi hayo maneno yenu ya kishamba, uamuzi wenyewe mnaufahamu? Mazuzu bwana, yanachekelea wasichokifahamu, hata uamuzi ungekuwaje bado kuna mahakama ya juu zaidi, ya rufani.
 
Back
Top Bottom