saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
we hata akili yako imeshastaafuhamna kitu hapo, CCM wameshatoa maagizo. Come what may wakija DP world tuwapige na mawe, ikibidi mabomu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we hata akili yako imeshastaafuhamna kitu hapo, CCM wameshatoa maagizo. Come what may wakija DP world tuwapige na mawe, ikibidi mabomu
Hizi ni njama za kutaka kuhujumu maamuzi ya mahakama kuhusu upingaji wa vifungu vibovu kwenye mktaba na DP World. Tarehe 8 mwezi wa nane 2023 Raisi yuko Mbeya na tarehe 14 mwezi Agosti 2023 bunge linakutana Dodoma haijulikana hata marekebisho ya sheria za rasilimali zitapelekwa kwa marekebishwa kumpendelea DP World.Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.
Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali.
Pia soma
- Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
- Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi
---
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa bandari baada ya mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharura (kutokuwepo mahakamani) hivyo msajili wa mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023.
Uko sahihi, hatutegemei kushinda kesi hii.
Ninachojua hukumu itachochea mjadala zaidi.
Huyo jaji labda hajipendi
aingie mamako?Unamhurumia?
KAma hataki kuzomewa aache hiyo kazi akalee wa jukuu.
Kiongozi ni jalala.
Karibu Tarimo Pub nyuma ya Masjid ya Mtambani upate roast na ndizi 2 😂😂🔥kwani kesi zingine zinavyoahirishwa mbona hamsemi hayo maneno yenu ya kishamba, uamuzi wenyewe mnaufahamu? Mazuzu bwana, yanachekelea wasichokifahamu, hata uamuzi ungekuwaje bado kuna mahakama ya juu zaidi, ya rufani.
KESHO: kesi ipo 'mahakamani' .... suala lile halizungumzwi kwa sasa.Kwa statement hii, majibu tayari tumeshayapata.
Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.
Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali.
Pia soma
- Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
- Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi
---
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa bandari baada ya mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharura (kutokuwepo mahakamani) hivyo msajili wa mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023.
--
Uamuzi wa kesi ya kupinga mkataba wa ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii,kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai (IGA), unaohusu uwekezaji katika Bandari za baharini na katika maziwa Tanzania, uliokuwa umepangwa kutolewa leo, Jumatatu, Agosti 7, 2023, umeahirishwa.
Uamuzi huo ulikuwa umepangwa kutolewa leo asubuhi hii na jopo la majaji watatu walioisikiliza kesi hiyo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya; linaloongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, akishirikiana na majaji Mustafa Ismail na Abdi Kagomba.
Hata hivyo umeahirishwa na Naibu Msajili wa mahakama hiyo Projest Kahyoza kwa siku tatu zaidi mpaka Alhamisi Agosti 10 mwaka huu, kutokana na mwenyekiti wa jopo la majaji kuwa na dharura.
"Kweli uamuzi huu ulikuwa umepangwa kutolewa leo kama mawakili walivyoeleza.", amesema Naibu Msajili baada ya mawakili wa pande zote kujitambulisha na kuikumbusha mahakama kuwa kesi hiyo ilipangwa leo Kwa ajili ya uamuzi na kwamba wako tayari kuupokea, kisha akaendelea:
"Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa jopo amepata dharura hayupo, kwa mambo ambayo hayazuiliki. Kwa hiyo wamekubaliana kwamba mpaka wote wawezo. Kwa hiyo ameelekeza maamuzi haya yasomwe Alhamisi ya wiki hii, tarehe 10, 2023.
Kesi hiyo ya kikatiba namba 5 ya mwaka 2023 imefunguliwa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya na mawakili wanne kutoka mikoa tofautofauti, Alphonce Lusako, Emmanuel Chengula, Raphael Ngonde na Frank Nyalus dhidi ya Serikali
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ambaye ni mshahri wa Serikali kwa mauslanya kisheria, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Katibu wa Bunge la Tanzania, ambaye ni mtendaji mkuu na mratibu wa shughuli za Bunge.
Katika hiyo ya kikatiba namba 5 ya mwaka 2023, wanasheria hao vijana wanapinga makubaliano hayo wakidai kuwa ni batili kwa kuwa masharti ya baadhi ya Ibara zake yanakiuka Sheria za Nchi za Ulinzi wa Raslimali na Maliasili za Nchi na Katiba ya Nchi.
Vile vile wanadai kwamba yanahatarisha mamlaka ya Nchi na usalama wa Taifa na kwamba yaliridhiwa na Bunge kinyume cha utaratibu bila kuwapa nafasi ya kutosha wananchi kutoa maoni yao.
Makubaliano hayo yalisainiwa Oktoba 25, 2023 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, baada ya kupewa nguvu ya kisheria na Rais Samia Suluhu Hassan, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, akishuhudia na yaliridhiwa na Bunge Juni 10, 2023.
Chanzo: Mwananchi
Sasa wewe una akili gani?.mbona unaonekana chawa tu.nani wa kumzomea rais we kima? majinga hayatakaa yaishe hapa duniani. Subiri uamuzi hilo tako lako litatulia kuwasha
Noma sanaNamsikiliza Dr.W.Slaa anatolea ufafanuzi kwamba hukumu inaweza kusomwa bila mwenyekiti wa jopo la majaji, hata kalani anaweza kuisoma hiyo hukumu..
HEBU TUSUBILI TUONE
nilikuwepo , sasa hivi naelekea KyelaSijakuona mahakamani Bro.
JingaMahakama ikatae huu mkataba, tena ipige marufuku kabisa bandari yetu kuendelezwa na Waarabu.
Tunataka wazungu au Wachina Ndio waendeshe bandari zetu na migodi yetu yote.
Sisi wazalendo, tunataka wazungu na wachina, hatutaki waarabu.Jinga
Watu wamepokea maelekezo toka juuNamsikiliza Dr.W.Slaa anatolea ufafanuzi kwamba hukumu inaweza kusomwa bila mwenyekiti wa jopo la majaji, hata kalani anaweza kuisoma hiyo hukumu..
HEBU TUSUBILI TUONE
Asubuhi nilisema lazima itaahirishwa sababu ya maagizo toka juuAcha Watu wale Sikukuu kwanza
Haina nouma nitaendelea kusubiria hapa hapa Mbeya Wala sitoi mguu hapa. Wadau mlioko Mbeya tuonaneMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa bandari baada ya mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharura (kutokuwepo mahakamani) hivyo msajili wa mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023.
Bado majibu, mana kwa lolote lile kesho pasingetoshaKwa statement hii, majibu tayari tumeshayapata.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameenda kupewa hukumu ya serikali, atakuja na hukumu mfukoni, poor poor Tanzania,..#pigania Tanganyika
Ni dhahiri Watanganyika Wazalendo wamechinjiwa baharini kwenye kesi hii,kama kawaida kimemo toka jumba jeupe kimefanya yake.Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.