Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

Kwani bila ya uwepo wa mwenyekiti wa jopo la majaji hiyo hukumu haiwezi kusomwa na majaji waliopo?

Wasitake kuanza kucheza michezo yao ya kijinga.
Haiwezi, "quorum" lazima itimie.

Usifikiri kile ni kikao cha walevi, kina mbowe na slaa.
 
Upo tayari kupokea hukumu yeyote itakayo tolewa na court of law?
Nimemsikia Prof Shivji kuwa njia moja kubwa ya kuvunja hayo makubaliano kwa hatua yalipofikia ni bunge pekee, tayari behewa la mwisho limeshaondoka Pugu, si mahakama inaweza kuvunja huo mkataba hata kama wangetaka kufanya hivyo, bali ni bunge pekee, sasa na hawa wabunge wetu akina Musukuma na spika wao hizi ni ndoto.
 
Back
Top Bottom