hamna kitu hapo, CCM wameshatoa maagizo. Come what may wakija DP world tuwapige na mawe, ikibidi mabomuHii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo , na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji .
Usiku wa Deni hauchelewi , Alhamisi siyo mbali .
Acha shobo.Ukivimbewa kodi za watanzania unajawa kiburi sana dogo tutayakata hayo masikio
Uko sahihi, hatutegemei kushinda kesi hii.hamna kitu hapo, CCM wameshatoa maagizo. Come what may wakija DP world tuwapige na mawe, ikibidi mabomu
mara nyingi inasomwa na registrars of the high court, kwa hiyo hii ni kisingizio cha kitotoKwani bila ya uwepo wa mwenyekiti wa jopo la majaji hiyo hukumu haiwezi kusomwa na majaji waliopo?
Wasitake kuanza kucheza michezo yao ya kijinga.
Hii inaweza kuwa intelligentsia ya kweli? Kama ni kweli nashukuru kwani huyu ni mama wetu sote sipendi akajisikia vibaya.Ili mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
Yuko Mbeya?Ili mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
Unamhurumia?Ili mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
Ahaaaaaaa,nimekusoma mkuuuIli mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
Sijakuona mahakamani Bro.Bila shaka yoyote , kesi iko wazi sana hii
Kwa matokeo yeyote yale. Bado ingekuwa shida mama kupokelewa vizuri na waTanganyika.Ili mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
Aliyosema Rostam ndio haya ????sasa nyie mnaelekezwa la kufanya lakini angalieni sana nchi hii sio ya kuchezea chezea tena..Mkienda njia hiyo ya usanii kama watu wakikosa Haki zao kwenye vyombo basi itakua shida...Simu imepigwa
Mbona mnaanza uoga wakati hukumu bado?Why this panic?Mahakama hiyo hiyo ilimwachia Mdude Chadema Mwaka jana.Ameenda kupewa hukumu ya serikali, atakuja na hukumu mfukoni, poor poor Tanzania,..#pigania Tanganyika
Majaji wa2 waenda Msikitini. Jaji mmoja mwenda Kanisani. Huyu mmoja atakuwa amepingana na wenzake wa2.Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.
Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali.
Pia soma
- Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
- Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi
---
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba ya kupinga mkataba wa bandari baada ya mwenyekiti wa jopo la majaji kupata dharura (kutokuwepo mahakamani) hivyo msajili wa mahakama kuu ameahirisha shauri hilo hadi Agosti 10, 2023.
nani wa kumzomea rais we kima? majinga hayatakaa yaishe hapa duniani. Subiri uamuzi hilo tako lako litatulia kuwashaIli mama atoke Kwanza mbeya asije kuzomewa
kwani kesi zingine zinavyoahirishwa mbona hamsemi hayo maneno yenu ya kishamba, uamuzi wenyewe mnaufahamu? Mazuzu bwana, yanachekelea wasichokifahamu, hata uamuzi ungekuwaje bado kuna mahakama ya juu zaidi, ya rufani.Tumeelewa wenye akili
Nawatakia Nane Nane yenye baraka 😂🔥🔥🤣