Nimemsikia Prof Shivji kuwa njia moja kubwa ya kuvunja hayo makubaliano kwa hatua yalipofikia ni bunge pekee, tayari behewa la mwisho limeshaondoka Pugu, si mahakama inaweza kuvunja huo mkataba hata kama wangetaka kufanya hivyo, bali ni bunge pekee, sasa na hawa wabunge wetu akina Musukuma na spika wao hizi ni ndoto.