Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
 
Mdudu naye aanzishe chama, Hata maandazi ya kujiunga atakosa!!
 
1. Anangisye
2. Jwani Mwaikusa
3. Dkt. Ulimboka
4. Mwangosi
5. Mdude
6. Mwabukusi...

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao, mkoa kama Mbeya umekuwa ukitoa vyuma na wanaharakati fierce.
Wanasubiri nini!?
 
😀😀

Hata wazo la kuanzisha Chadema lilianzia Mbeya kwa Mwakitwange aliyemshirikisha Tuntemeke Sanga na baadae Tuntemeke akawashirikisha Mtei na Makani

Msione vyaelea 😂😂🔥🐼🌟
Ni wakati wa Mbeya kuwa na chama chao, wahusika wakuu wawe mikoa ya nyanda za juu kusini kwa uchaguzi wa 2025
 

Mnafiki mkubwa. Kwanini wasiwazidi CCM ila waendelee kuwazidi CHADEMA?. Ulipoitaja CHADEMA nikajua ni mnafiki.
 
Mbona hujatutajia wengine Kama Mwandosya, Mwakyembe na Tulia hao pia wanafaa kwenye chama chenu mnachotaka kuanzisha
Anachokula Tetea (ccm), vifaranga pia hula.

Hata kwa waisrael wanaosifika kwa kuwa na akili nyingi, wapo machizi.

Ni hivyo hata kwa Mbeya, inasifika kwa kuwa na watu wenye uthubutu na ujasiri lakini pia kuna vifaranga vya ccm tumeviona vikipigia debe ishu ya bandari
 
Mwabukusi kakulia Arusha mjini.
 
Hivi huwa wanaongelea nini majukwani.?
Kuwa na elimu ya kutengeneza vitu, tuwe na viwanda vya uhakika mpaka kufikia mwaka 20...
Kuweza kupeleka matunda ulaya na kuwalisha kuzidi majirani

Je matusi ndio kujipima na siasa
 
Hivi huwa wanaongelea nini majukwani.?
Kuwa na elimu ya kutengeneza vitu, tuwe na viwanda vya uhakika mpaka kufikia mwaka 20...
Kuweza kupeleka matunda ulaya na kuwalisha kuzidi majirani

Je matusi ndio kujipima na siasa
Ccm inaongelea haya?? Au wanaishia kusema :;

Stupid.
Ninajua kuzichapa.
Waganga wawaroge wanaopinga DPW.
Watu wazima fanyaneni wenyewe, Ila watoto msiwaguse.
N.k.
Kauli matope tupu.
 
Hawatapata usajili milele
 
Ccm inaongelea haya?? Au wanaishia kusema :;

*Stupid.
*Ninajua kuzichapa.
*Waganga wawaroge wanaopinga DPW.
*Watu wazima fanyaneni wenyewe, Ila watoto msiwaguse.
*N.k.
Kauli matope tupu.
Basi tutegemee miaka 200 mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…