Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.

Hao wote ni watu wa hisia, Hakuna kiongozi hapo, ni kelele tu za IGA, usifananishe Chadema na mambo ya ajabu.
 
Hivi huwa wanaongelea nini majukwani.?
Kuwa na elimu ya kutengeneza vitu, tuwe na viwanda vya uhakika mpaka kufikia mwaka 20...
Kuweza kupeleka matunda ulaya na kuwalisha kuzidi majirani

Je matusi ndio kujipima na siasa
Hii tunaichukua...
 
Hoja zaukabila na ukanda ni zakipuuz sana
Hapa ndo unaweza kuona ni kwa namna gani nchii bado ipo na vilaza sana , yani badala ya kufikilia namna ya kuunganisha nguvu katika vyama vilivyopo , unawaza tu kuongeza utitiri wa vyama ambao umekua hauna tija miaka yote ,

Aya ndo mawazo wenda mnachukua huko sijui sauti ya watanzania, kwa ushauri sijui wa yule babu yenu,

Kwa sasa chadema ilipofika hata vingeundwa vyama 30 vipya kile chama ,hakiko huko .

Anzisheni ata kesho,
 
Mnafiki mkubwa. Kwanini wasiwazidi CCM ila waendelee kuwazidi CHADEMA?. Ulipoitaja CHADEMA nikajua ni mnafiki.
Anazungumzia upinzani CCM ni chama tawala, mi naona Bora waanzishe Tu wawazidi chadema
 
1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Nami ni mtu wa Mbeya ila kwa kuwa sina tabia ya "umimi ,kujiona ,na dharau" basi kaa ujue SI MBEYA PEKEE BALI WATU MAJASIRI WAKO kila mkoa nchi hii iliyobarikiwa [emoji120]

Ndagha Fijo [emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Mbona mimi hujanitaja?!!
 
Tunda unaweza kulichuma ukalisafirisha hata marekani lakini bado lina asili ya mti wake
Ila kweli, Mbeya wanaujasiri sana. Walitakiwa wakae na watu wa Mara, alafu wafuate watu Arusha, nchi ingekuwa pazuri. Ni suala la kujitambua tu.
 
Anachokula Tetea (ccm), vifaranga pia hula.

hao wapo kambi ya ccm,
Majibu yako yanapingana na mada yako.
Mada ilikuwa Mbeya waanzishe chama Chao cha siasa Sasa kwanini unawatenga wanambeya wengine kuwaita wanaccm wakati wote wanaotoka Mbeya.
 
1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Wanaweza kuwazidi mpaka CCM.
 
1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
CCWM - CHAMA CHA WA-MBEYA
 
1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi

Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya

Mtaji wa kisiasa wanao,

2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Waanzishe au waungane.
 
Mdudu naye aanzishe chama, Hata maandazi ya kujiunga atakosa!!
Unamkejeli lakini mwenzako amepitia mateso makali sana. Behaviour aliyonayo imesababishwa na mateso aliyopata akikupigania wewe ambae hata kuandika nyuma ya keyboard huwezi.
 
Back
Top Bottom