1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Hii tunaichukua...Hivi huwa wanaongelea nini majukwani.?
Kuwa na elimu ya kutengeneza vitu, tuwe na viwanda vya uhakika mpaka kufikia mwaka 20...
Kuweza kupeleka matunda ulaya na kuwalisha kuzidi majirani
Je matusi ndio kujipima na siasa
Hapa ndo unaweza kuona ni kwa namna gani nchii bado ipo na vilaza sana , yani badala ya kufikilia namna ya kuunganisha nguvu katika vyama vilivyopo , unawaza tu kuongeza utitiri wa vyama ambao umekua hauna tija miaka yote ,Hoja zaukabila na ukanda ni zakipuuz sana
Anazungumzia upinzani CCM ni chama tawala, mi naona Bora waanzishe Tu wawazidi chademaMnafiki mkubwa. Kwanini wasiwazidi CCM ila waendelee kuwazidi CHADEMA?. Ulipoitaja CHADEMA nikajua ni mnafiki.
Nami ni mtu wa Mbeya ila kwa kuwa sina tabia ya "umimi ,kujiona ,na dharau" basi kaa ujue SI MBEYA PEKEE BALI WATU MAJASIRI WAKO kila mkoa nchi hii iliyobarikiwa [emoji120]1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]Hoja zaukabila na ukanda ni zakipuuz sana
Ubaguzi....Ni wakati wa Mbeya kuwa na chama chao, wahusika wakuu wawe mikoa ya nyanda za juu kusini kwa uchaguzi wa 2025
Mbona mimi hujanitaja?!!1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
[emoji1787][emoji1787]Hivi huwa wanaongelea nini majukwani.?
Kuwa na elimu ya kutengeneza vitu, tuwe na viwanda vya uhakika mpaka kufikia mwaka 20...
Kuweza kupeleka matunda ulaya na kuwalisha kuzidi majirani
Je matusi ndio kujipima na siasa
Ila kweli, Mbeya wanaujasiri sana. Walitakiwa wakae na watu wa Mara, alafu wafuate watu Arusha, nchi ingekuwa pazuri. Ni suala la kujitambua tu.Tunda unaweza kulichuma ukalisafirisha hata marekani lakini bado lina asili ya mti wake
Majibu yako yanapingana na mada yako.Anachokula Tetea (ccm), vifaranga pia hula.
hao wapo kambi ya ccm,
Wanaweza kuwazidi mpaka CCM.1.Mwabukusi
2.Mdude
3.Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
CCWM - CHAMA CHA WA-MBEYA1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
[emoji23][emoji23][emoji23]Chama Cha Wanyakyu ( ChaChaWa) [emoji23][emoji23][emoji91]
Waanzishe au waungane.1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
HeheheTatizo wanatuona nyani
Unamkejeli lakini mwenzako amepitia mateso makali sana. Behaviour aliyonayo imesababishwa na mateso aliyopata akikupigania wewe ambae hata kuandika nyuma ya keyboard huwezi.Mdudu naye aanzishe chama, Hata maandazi ya kujiunga atakosa!!