Mbeya is Awesome. Hata kwenu pia ni kuzuri, kusifie huku ukisindikiza na picha za chombeza

-Kulia kwa hii road ni shule ya sekondari lufilyo
-nyuma kidogo kushoto nyumambani kwa prof.mark.
-ukienda mbele kidogo kuna mto ukivuka kuna kijiji cha lufilyo.

kokoa,maembe,parachichi,ndizi na vyakula vya kila aina vipo hapo. Hali ya hewa nzuri pia.

Natamani kama umri ungekuwa unarudi nyuma ningerudisha nikasome tena LUFILYO HIGH SCHOOL.
 
Ila wanyakyusa hilo jina la shule
 
Beetroot mzee, kama mkeo ni mjamzito, na unataka azae mtoto copyright na wewe, mlishe hizi mambo, zinaongeza sana damu
Hahahaaa hii nadhani inaingia kwenye myths sidhani kama ina ukweli wowote uliothibitishwa kisayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…