Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

Askari watano wamekamatwa mkoani Mbeya wakisafirisha Wahamjaji haramu

RPC Kuzaga amesema Askari hao wa Jeshi la Polisi watashughulikiwa na taarifa itatolewa kwa Wananchi

Source ITV habari
 
Nnchi imeoza hi nakuambieni bas hkn namna

Kwani wamepita nchi ngapi hadi kufika huku? Sema nchi za Kiafrica zimeoza! Watu wamekata mbuga ndefu halafu unasema mchi hii imeoza? Ni zote zimeoza!
 
Imeoza je? Ukiona watu wanakamatwa , na Taarifa zinakufikia nikwa sababu, vyombo vya usalama voko macho24/7
Hakuna Cha usalama Wala vyombo mmoja hapo kaminywa au wameamua kutoa chambo kusafirisha mtu mmoja ni Dola 5000 Hadi 10000 ,uchaguzi ni wako iwe mchana na jua au inyeshe Kama yanga fc ya kariakooo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Wahamiaji 6+ Polisi 5 jumla 11 ndani ya Toyota Cresta moja??!!!

Uongo mwingine haukubaliki, sema walikuwa wachoyo wa mgawo hasa huyo ASP Bwire!.
 
Nnchi imeoza hi nakuambieni bas hkn namna
Sasa ingekuwa imeoza wangekamatwa hao Askari ujue watu watu wanafanya kazi na kwa Rpc huyo hao Askari hawana kazi hanaga ujinga huyo
 
Ukiangalia utajiri wa hao mapolisi ndiyo utajua hela za wahamiaji kharamu ni "tamu"!
 
Back
Top Bottom