Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

Wanawafanya vijana wawe wadadisi na kuipenda kazi hiyo.Kumbe hawajui nyuma ya pazia kuna wezi na watu wasio waadilifu.Kupora,kudhulumu,kutapeli,magendo,rushwa,biashara kharamu,hata kuua kunahusika in the name of police uniforms!
 
Vyombo vya usalama vinakuaje macho wakati ndo hivyo hivyo vinavyoshiriki kwenye magendo? Au huelewi maana ya kuwa macho?
Kua macho nipamoja na kuwanasa wanausalama wanao kiuka Sheria nakushiriki vitendo vya kiharamia.

Au unataka kusema kua wamekamatwa na FBI ?
 
We una
Imeoza je? Ukiona watu wanakamatwa , na Taarifa zinakufikia nikwa sababu, vyombo vya usalama viko macho24/7
We unadhan mpaka Askari nae anashiriki kusafirisha binadamu halafu unataka kukataa nchi haijaoza hao hadi kukamatwa unadhan wamefanya mara ngapi na wengine bado wanaendelea na mishe kiukweli nchi imeoza Askari kweli anashiriki kusafirisha binadamu
 
Wabongo sasa, pale tukio linapotokea kuweka ujuaji... Hivi mkuu wakikuita ukaoneshe utajiri wa hao watuhumiwa usaidie upelelezi utawaonesha??
Jibu ni rahisi.Unadhani hao "wezi" hawaku-caluculate" unachokitaka?These men are purely bandits!Elewa hivyo.Mwizi huwa anatafuta namna ya kuhalalisha umumiani wake.Usitegemee ukakuta kidhibiti.Labda uwa-outsamart!These guys are purely thieves in cardets
 
Na ukiona mkuu wa wilaya au mwanasiasa yeyote katoa shinikizo,jua anatafuta umaarufu,zaidi ya hapo ni ubabaishaji tu.
Na ukiona ubabaishaji mwingi na kutafuta umaarufu kwa wateule wa raisi
Basi jua........
 
We una

We unadhan mpaka Askari nae anashiriki kusafirisha binadamu halafu unataka kukataa nchi haijaoza hao hadi kukamatwa unadhan wamefanya mara ngapi na wengine bado wanaendelea na mishe kiukweli nchi imeoza Askari kweli anashiriki kusafirisha binadamu
Yeye ataachaje dili la mln 20,30
Wkt hko juu kna watu wanapiga mabilion

Ova
 
Back
Top Bottom