johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Imeoza je? Ukiona watu wanakamatwa , na Taarifa zinakufikia nikwa sababu, vyombo vya usalama viko macho24/7Nnchi imeoza hi nakuambieni bas hkn namna
Nnchi imeoza hi nakuambieni bas hkn namna
Wametolewa kafara hao,nadhani kulikuwa na kutokuelewana kwenye mgao. Hapa hatuna polisi tuna wezi.
Hawa wa kwetu wamezidi. Kama polisi anafikia kumtilia mtu mfupa wa mtu,meno ya tembo,silaha au bangi ili amtishie kumpa kesi achukue hela,tuna polisi au tuna vibaka?.Na huko nchi walizopita hadi kufika Tanzania polisi wapoje?
Hakuna Cha usalama Wala vyombo mmoja hapo kaminywa au wameamua kutoa chambo kusafirisha mtu mmoja ni Dola 5000 Hadi 10000 ,uchaguzi ni wako iwe mchana na jua au inyeshe Kama yanga fc ya kariakoooImeoza je? Ukiona watu wanakamatwa , na Taarifa zinakufikia nikwa sababu, vyombo vya usalama voko macho24/7
Vyombo vya usalama vinakuaje macho wakati ndo hivyo hivyo vinavyoshiriki kwenye magendo? Au huelewi maana ya kuwa macho?Imeoza je? Ukiona watu wanakamatwa , na Taarifa zinakufikia nikwa sababu, vyombo vya usalama voko macho24/7
Sasa ingekuwa imeoza wangekamatwa hao Askari ujue watu watu wanafanya kazi na kwa Rpc huyo hao Askari hawana kazi hanaga ujinga huyoNnchi imeoza hi nakuambieni bas hkn namna
HahahaWahamiaji 6+ Polisi 5 jumla 11 ndani ya Toyota Cresta moja??!!!
Uongo mwingine haukubaliki, sema walikuwa wachoyo wa mgawo hasa huyo ASP Bwire!.