masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #21
Mkuu huo si utetezi kwa mji kama Mbeya wenye jina kubwa kuwa kijiji kikubwa.Acha ukasuku sehemu uliyotembelea Mbeya ni wapi ambako kama jalala.Kwa kuongezea maeneo aliyotaja mtoa mada;sehemu zingine zilizopimwa ni Soweto Block Q ambapo nimezaliwa na kukulia,Block T,Veta na Sae.Maeneo ambayo ni squatter kwa mujibu wa picha zake hapo nimeona maeneo ya milimani kama Simike,Mabatini,Isanga,Ilemi nk,huku wengi wanaishi lower class.Ni kama Mwanza maeneo ya Ghana,Mabatini,Igogo,Nyamanoro nk.
Wewe kwenu wapi kwanza maana naona unashupaza fuvu sana kila kitu wewe humu jamvini unajua!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kuna maeneo leo miaka 61 baada ya uhuru kuna nyumba za tope, hakuna barabara , hakuna taa, vyoo ni vya shimo.
Pathetic.