Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Tulia hanauwezo wakurekebisha,hili tatizo la ujenzi holela lipo tangu enzi za Nyerere na wanainchi wengi wanaona fahari kuishi mabondeni na sehemu zisizopimwa
Ushamba unakusumbua.
 
Kwanza unaleta picha za gokgiza zamani sana.

Pili Jiji gani Tanzania hii ukitoa Dom na Tanga sio squatters?

Mwisho ndio maana niliandika mada kwamba Wizara ya Kilimo na Jerry Silaa watupishe kwa kuondoa mashamba katikati ya Mji.

Ni upuuzi Kugeuza eneo prime kama la Uyole kuwa mashamba ya mahindi wakati lingefaa Kwa Ajili ya uendelezaji wa Jiji maana ni usoni mwa Mji.
Mbeya kuwa Jiji endelevu lazima iwe mkakati wa namna ya kuishi kistaarabu.
Nabpengine hujui kuwa Lugalo JWTZ na Chuo Kikee cha DSM sasa vyote vipo katikati ya Jiji la DSM na vime blend-in.
 
Mbeya kuwa Jiji endelevu lazima iwe mkakati wa namna ya kuishi kistaarabu.
Nabpengine hujui kuwa Lugalo JWTZ na Chuo Kikee cha DSM sasa vyote vipo katikati ya Jiji la DSM na vime blend-in.
Lugalo iliko ni tofauti na hapo Uyole.Uyole ni CBD na ndio usoni mwa Mji hatutaki mashamba Hilo ni eneo prime la Kuendeleza Jiji na kufuta muonekano mbaya.
 
Lugalo iliko ni tofauti na hapo Uyole.Uyole ni CBD na ndio usoni mwa Mji hatutaki mashamba Hilo ni eneo prime la Kuendeleza Jiji na kufuta muonekano mbaya.
Uyole ni CBD toka lini? Acha mji uwe na sehemu ya kupumulia. Mkiona eneo lipo wazi manataka mjaze mavibanda, mnadhani ndiyo maendeleo.
 
Mnaishi maisha ya nyuki
Mnarundikana sehemu moja halafu mnaenda kutafuta mahitaji hata maili kumi
Nchi nzima inatakiwa ibadilike na irudi kama zamani
Yaani serikali ingehamisha watu na hata kubomoa hayo mabanda na mazizi na kuweka hata garden za kupummzika mji upumue
 
Sawa! Bahati nzuri majiji yote nayafaham. Mimi nipo jiji la Ilala mkoa Dar salaam. Angalia Ilala ni asilimia ngapi imepangwa, mkoa mzima wa dar achilia maeneo machache yaliyopangika aehemu kubwa iko hovyo mkuu!
Kwa io km ilala haijapangwa ni sawa mbeya kuwa na slum kila kona?
 
Mnaishi maisha ya nyuki
Mnarundikana sehemu moja halafu mnaenda kutafuta mahitaji hata maili kumi
Nchi nzima inatakiwa ibadilike na irudi kama zamani
Yaani serikali ingehamisha watu na hata kubomoa hayo mabanda na mazizi na kuweka hata garden za kupummzika mji upumue
Aisee........kuna watu bado hawastaarabika katika kuendeleza miji.
 
Hii nchi asilimia kubwa ya miji ni skwata tu. Ni hata Dar, ukiachana na maeneo machache mengine mengi ni skwata sema zina nyumba za kishua. Hata Goba ni skwata tu
 
Mkuu! Mbeya kuna block T, forest mpya, forest ya zamani, jacaranda, block Q, kuna eneo kama unaenda mbalizi nimepasahau jina mbele ya iyunga, huko Ghana, na kuna maeneo nimeyasahau majina yako vizuri sana.
Iwambi
 
Kwa io km ilala haijapangwa ni sawa mbeya kuwa na slum kila kona?
Bila shaka mtoa mada umemuelewa.
Na huu ni mchango huru.
Tumetolea mfano majiji yote kuwa yako hovyo kwa 80%. Michango mingi imejikita kuwa Tanzania upande wa mipango miji ni zero.
Nimetolea mfano wa nilikojenga mimi kuwa nako mipango miji ni ovyo kabisa.
Maana kuna watu wasioijua Dar wanaipa sifa ambazo si za kweli.
 
Back
Top Bottom