mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mbeya ni mji wa kipuuzi sana, hamna cha maana zaidi ya ushirikina tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkwenzulu?Hivi ile hoteli jirani na shule ya sisimba bado ipo
Ova
Mbeya mji wa kipuuzi, Yes!Mbeya ni mji wa kipuuzi sana, hamna cha maana zaidi ya ushirikina tu
Nyie ndo mnasubiri kuwekezwa na mwarabu, maana kufikiria maendeleo ninyi wenyewe hamuwezi.Wee utakuwa bumunda! Hivi kwa akili yako Spika ana nafasi gani katika maendeleo ya Jimbo? Labda mnataka aanze kumlamba Samia nyayo vinginevyo mwacheni akomae kuongoza Bunge, ndiyo kazi anaweza!
Jiji la wachuna ngozi ni laana tupu, hakuna chochote cha maana kule zaidi ya uchawi tu
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.
Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.
Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.
Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.
Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.
Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.
Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.
Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Tanga asilimia zaidi ya 90 ni plannedHivi ni mji gani kwa hapa Tanzania ambao una Mipangomiji safi angalau kwa asilimia Hamsini ya eneo lake lote??? Mji gani????Miji ktk nchi yote ya Tanzania haijapangilika kimipangomiji, Completely Unplanned Townships & Cities, ambayo haina sifa ya kuitwa Miji Bali ni Vijiji, ukianzia na Kijiji cha Dar es Salaam (Kijiji kikubwa zaidi nchini Tanzania).
Acha uongo wewe Tanga maeneo yaliyojengwa kiholela unaweza hata kuyahesabu,eneo kubwa la mji barabara na nyumba zimenyooka mwanzo mwisho acha wivuHakuna lolote, ni hovyo kabisa. Mimi nimeshawahi kufika na kuzunguka kwenye miji yote mikubwa ya hapa Tz, huwezi kunidanganya kitu.
Ukweli usemwe ,asilimia zaidi ya 70 mbeya ni slumIsyesye
Iwambi
Majengo
Uhindini
Forest mpya na
Ya zamani
Kote hampaoni mmekazana na
Ilemi
Ilolo
Old airport
Na mafiat
Hatukatai mji hauja pqngwa Ila sio Kama mnavo sema nyinyi bhana
Ni zaidi ya 70% mkuu, inaenda 90% na Wiazra ya Ardhi mkoani ipo, RC yupo, watu wanajenga kiholela tu, serikali imekaa kimya. Dr Tulia hili lazima liwe jukumu lake kuiamsha serikali .Ukweli usemwe ,asilimia zaidi ya 70 mbeya ni slum
Ficha ujinga wako!Mtu aliye ndNi ya tope la choo kama ulivyo, haisaidii kumtupia kama kumuokoa.
Hivi kwa kutumia ujinga wako umejiridhisha kuwa kichwa cha Tulia kina uwezo wa kufikiria maendeleo? Kama ameshindwa kutambua rasilimali za nchi zinaporwa anawezaje kujua mahitaji ya jiji la Mbeya!Nyie ndo mnasubiri kuwekezwa na mwarabu, maana kufikiria maendeleo ninyi wenyewe hamuwezi.
Kichwa chako hata kudadavua na kifikiria tatizo imekushinda, sembuse solutions.Hivi kwa kutumia ujinga wako umejiridhisha kuwa kichwa cha Tulia kina uwezo wa kufikiria maendeleo? Kama ameshindwa kutambua rasilimali za nchi zinaporwa anawezaje kujua mahitaji ya jiji la Mbeya!
Very true, sababu mojawapo viongozi wanaopelekwa mbeya hawaisaidii mbeya bali wanaivuna mbeya pasipo faida kwa mbeya yenyewe. Baraka na maisha ya Mbeya ni Mungu , serikali za CCM na CCM yenyewe hamna kitu wanafanya.
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.
Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.
Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.
Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.
Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.
Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.
Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.
Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Mwanamke kibwengo hana akili yuleHivi kwa kutumia ujinga wako umejiridhisha kuwa kichwa cha Tulia kina uwezo wa kufikiria maendeleo? Kama ameshindwa kutambua rasilimali za nchi zinaporwa anawezaje kujua mahitaji ya jiji la Mbeya!
Very true!Very true, sababu mojawapo viongozi wanaopelekwa mbeya hawaisaidii mbeya bali wanaivuna mbeya pasipo faida kwa mbeya yenyewe. Baraka na maisha ya Mbeya ni Mungu , serikali za CCM na CCM yenyewe hamna kitu wanafanya.
Mkuu nidhamu kitu cha maana sanaNilipokulia kinondoni mitaa fulani nlikuta lami, taa ziko zinewekwa mtaani,kila mtaa ulikuwa na mfumo wa hydrants incase ikitokea moto,
Nyumba zilikuwa zimeachana
Sehemu nyingi za mwananyamala zlikuwa na Garden na open space
Haya angalia leo hii yaani ni vurugu tu
Ova
Great Thinker hata hufahamu miradi inaandaliwa vipi! Wewe unadhani kwa kuwa Tulia ni Spika basi ana mamlaka ya kuamua fedha za umma zikatumike wapi!Kichwa chako hata kudadavua na kifikiria tatizo imekushinda, sembuse solutions.
Si lazima ku comment kitu usichokijua au kuelewa.
Mambo ya akili waachie wenyewe Great Thinkers!
Ni kule Uhindini kwenye maghorofa mengi mengi, zilipo ofisi za mkuu wa mkoaHuu mji city center sjui huwa ni wapi