Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Uhindini hiyo. Hapo mbele kidogo ni Mbeya Peak Kwa kina Lusajo. Wana supu ya mbuzi nzuri sana
Eneo linalotazamana na hilo jengo Hamshauri na Madiwani kwa kweli kwa kukosa maono na ubunifu wamebaki wameduwaa wasijue la kufanya karibia miaka 20 sasa.
Sehemu ilikuwa soko la mjini.
 
Bila shaka mtoa mada umemuelewa.
Na huu ni mchango huru.
Tumetolea mfano majiji yote kuwa yako hovyo kwa 80%. Michango mingi imejikita kuwa Tanzania upande wa mipango miji ni zero.
Nimetolea mfano wa nilikojenga mimi kuwa nako mipango miji ni ovyo kabisa.
Maana kuna watu wasioijua Dar wanaipa sifa ambazo si za kweli.
Watu wa Mipango Miji vichwani wamejaa vichaka vya kijijini walikotoka, so far wameshindwa kuibadili miji yetu kwa mipango madhubuti.
 
Kiufupi labda tuseme kuwa serikali ndio haijastaarabika kama baadhi ya wachangiaji wanavyowalaumu waliojenga maeneo holela.
Nijuavyo mimi swala la Mipango miji ni la serikali, serikali haijui matumizi bora ya ardhi. Mwananchi yeyote asingeweza kujenga hovyo kama ardhi yote ingepimwa na kupangiwa matumizi. Miji mikubwa yote ilitakiwa iwe na Masterplan.
Majiji yetu ni mazuri majina, lakini imejengwa hovyo.
 
Mbeya itaendelea kuwahangaisha miaka na miaka .

Miaka nenda rudi mng'ang;ana na hoja hiyo hiyo.

Je Mbeya hakuna mazuri mjifunze ?
 
Hivi watu mnatumia akili zenu sawasawa kweli? Hivi kweli Tulia ana uwezo huo au mmeamua kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvimbisha kichwa!

Eh! Tulia atapata wapi fedha? Bladifakeni!!
 
Hivi watu mnatumia akili zenu sawasawa kweli? Hivi kweli Tulia ana uwezo huo au mmeamua kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvimbisha kichwa!

Eh! Tulia atapata wapi fedha? Bladifakeni!!
Msio na maono ngojeeni muendelezwe na Magufuli akirudi, maana hata methali za mtu kwao au hata kinyakyusa kuwa ,"Chsrity begins at home" ni vigumu kwenu kuzielewa, mlivyo na vichwa vigumu.
Magufuli ameasisi kujenga daraja la Busisi kwenda kwao, lKini kwa kukomaa akili zenu sala hamuelewi!
Mbeya minunda mko wengi.
 
Hivi watu mnatumia akili zenu sawasawa kweli? Hivi kweli Tulia ana uwezo huo au mmeamua kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvimbisha kichwa!

Eh! Tulia atapata wapi fedha? Bladifakeni!!
Mkuu umeitwa nunda kwa kutoona kuwa wazo la maendeleo lazima lianzie kwako nyumbani.
 
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.

Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.

Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.

Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.

Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.

Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.

Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.

Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Sawa tu na Mwanza
 
Yaani wao wanaona sawa tu mkuu
Hawajui kwanini wenzetu wanaendelea
Nilipokulia kinondoni mitaa fulani nlikuta lami, taa ziko zinewekwa mtaani,kila mtaa ulikuwa na mfumo wa hydrants incase ikitokea moto,
Nyumba zilikuwa zimeachana
Sehemu nyingi za mwananyamala zlikuwa na Garden na open space
Haya angalia leo hii yaani ni vurugu tu

Ova
 
Hii nchi asilimia kubwa ya miji ni skwata tu. Ni hata Dar, ukiachana na maeneo machache mengine mengi ni skwata sema zina nyumba za kishua. Hata Goba ni skwata tu
Goba nyumba hazijaka kwenye mpangilio yaani kimtaa
Huko nako skwata tu

Ova
 
Msio na maono ngojeeni muendelezwe na Magufuli akirudi, maana hata methali za mtu kwao au hata kinyakyusa kuwa ,"Chsrity begins at home" ni vigumu kwenu kuzielewa, mlivyo na vichwa vigumu.
Magufuli ameasisi kujenga daraja la Busisi kwenda kwao, lKini kwa kukomaa akili zenu sala hamuelewi!
Mbeya minunda mko wengi.
Wee utakuwa bumunda! Hivi kwa akili yako Spika ana nafasi gani katika maendeleo ya Jimbo? Labda mnataka aanze kumlamba Samia nyayo vinginevyo mwacheni akomae kuongoza Bunge, ndiyo kazi anaweza!
 
Mkuu! Mbeya kuna block T, forest mpya, forest ya zamani, jacaranda, block Q, kuna eneo kama unaenda mbalizi nimepasahau jina mbele ya iyunga, huko Ghana, na kuna maeneo nimeyasahau majina yako vizuri sana.
Block t,jacaranda nmeishi huko mpaka naondoka maeneo hayo yalikuwa yamepangika sijui kwa sasa
Kama bado kuko vile vile au washakuaribu
Maeneo ya ghana,soko matola, uhindini yalikuwa yamechangamka

Ova
 
Dar yenyewe ndiyo kuna skwata za kufa mtu

Ova
 
Back
Top Bottom