Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili


"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.

Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.

Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.

Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.

Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.

Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.

Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.

Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Huu mji labda ubomolewe koteee na kupangwa upya. Mji umekuwa kama jalala la makazi. Utadhani hayo makazi yamerushwa yakasambaa mbeya kama jalalani.
Hakuna pa kupita. Wakijenga hivi vitu-barabara twao wanafuatisha njia ya miguu.
Hadi najiuliza ilikuwaje?
 
Iwambi, Forest Mpya na Isyesye huku kumepimwa na kupangwa miaka ya hapa karibuni. Lakini maeneo kama Ilemi, Mwanjelwa, Ilolo, Mabatini, Isanga na Uyole hupo hovyo kwelikweli
Sasa kuanzia Simike, Mbembela, Nzovwi hadi Iyunga ni balaa, hakuna ramani inayoeleweka
 
Great Thinker hata hufahamu miradi inaandaliwa vipi! Wewe unadhani kwa kuwa Tulia ni Spika basi ana mamlaka ya kuamua fedha za umma zikatumike wapi!

Nonsense!
Hujajibu jinsi ulivyoielewa mada, zumbukuku!
 
Tukiacha kuchekeana na kuoneana huruma Tanzania itakuwa nzuri. Ili tusonge mbele yatakiwa watu waumie
Kweli kabisa
Kama Magufuli alivyofanya Kimara watu wameumia lakini tumeona kitu kilichotoka, cha dunia ya kwanza.
Mbeya lazima slums zivunjwe tusichekeane kama nyani bana!
 
Huu mji city center sjui huwa ni wapi
Kwa hiyo hujawahi ona Daladala zimeandikwa City Center?

Mbeya kama Dar tuu,Sokomatola(Posta) na Mwanjelwa(Kariakoo).

Mbeya ime defy the odds,hakuna kurundika Kila kitu sehemu Moja.
 
Watu wa Mbeya inabidi wajitafakari sana na wajifunze sana kupajenga kwao vizuri.

Mbeya ni sehemu iliyojengwa hovyo kuliko sehemu zote Tanzania.

Kwa mkoa mzima sehemu iliyopangwa at least ni Kyela tu. Sehwmu nyingine zote ni kama jalala la takataka
Watu wenyewe wa Mkoa huo ndio hao kina Mwambukusi unategemea nini? Ukuaji,ubishi na kiburi 🤣🤣

Saizi wanaiharibu Mbalizi wakati eneo like kuanzia Songwe Viwandani linbepanvwa vyema ila ndio hivyo Sasa no one cares.
 
Mbeya nimeishi block T,jacaranda pia
Maeneo kipindi hicho yalipqngiliwa vizuri sana ....
Kwa sasa hali ikoje huko

Ova
Kimsingi watu wanadhani eti Mbeya yote ni skwata wakati sio kweli.

Wanatumia hizo picha za hapo Mwanjelwa,Meta na maeneo kama hayo ki justify chuki zao.

Hata hivyo Kasi ya ujenzi ni kubwa kuliko uwezo wa kupanga wa mamlaka.

Pia Kuna maeneo yangezuiwa kufanya uendelezaji kabisa kama Ifisi kuelekea Songwe kiwandani.

Mwisho Mashamba Yale ya Uyole ya Chuo na JKT yachukuliwe na Serikali Ili yapimwe Kwa uendelezaji wa Jiji mbona patanoga kama Forest Mpya?
 
UKienda ofis za ardh mbeya wanasema viwanja vya kupima vipo nsalaga bei ya square meter 5000/= xawa alaf nsalaga ni mbli alaf IKOLOTI, IGANZO YA JUU, WANAPOCHIMBA KIFUS AMBAPO NI KARIB NA MJI YAAN MWANJELWA kipande cha ardh ya kujenga vyumba vitatu kinauzwa laki 9 au ikizid 1.5 kun mapagar yapo ilemi 1.5 had 2 na karib na mwanjelwa.

We undhan mtu ataenda kununua nsalaga au atapanda kwenye milima ambapo hapaja pimwa ila ni karib na town.

Mambo mengini ajabu saaan yaaan KIGAMBONI kiwanaja kinauwa 3000/= mita za mraba ambapo ndan ua miaka miwili ni mji mkubwa na unweza uza kiwanja hicho mara nne ya bei uliyonunulia alaf mbeya unauza 5000/= porin.

Ndo mana mji unachelewa lakin sera za mji ni mbovu zinafanya watu wakajenge sqwata.

NA KWA TAARIFA YEN MILIMA BADO MING MNO SO NI SQWATA KWA KWENDA MBELE .
 
Ungekuwa na akili wala usingemlilia Tulia ambaye uwezo hana wala nia!
Upendo wako kwa Tulia tunaujua fika, hata usipokula..Tulia, ukijikwaa...Tulia..., ukishikwa na tumbo la kuhara.....Tulia.
 
Bila shaka mtoa mada umemuelewa.
Na huu ni mchango huru.
Tumetolea mfano majiji yote kuwa yako hovyo kwa 80%. Michango mingi imejikita kuwa Tanzania upande wa mipango miji ni zero.
Nimetolea mfano wa nilikojenga mimi kuwa nako mipango miji ni ovyo kabisa.
Maana kuna watu wasioijua Dar wanaipa sifa ambazo si za kweli.
Idara ya Mipango Miji Wizara ya Ardhi ivunjwe tu, hakuna lolote wanafanya nchini.
 
Idara ya Mipango Miji Wizara ya Ardhi ivunjwe tu, hakuna lolote wanafanya nchini.
Ardhi ovyo sana. Kuna eneo langu niliomba nipimiwe ni zaidi ya miaka mitatu sasa. Kila kikenda uswahili tu. Kuna mpima wa manispaa ya ilala ovyo sana. Ni mtu wa Mbeya anashirikiana na wahuni kuzungusha watu wasipate hati zao.
 
Back
Top Bottom