Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Mabatini wanajitetea ni mji wa zamani lakini makosa mbona yanarudiwa maeneo mapya kama Uyole,Nsalaga nk?yaani hii inashangaza sana!True! Ukienda sehemu kama mabatini unaweza kujiuliza hivi waafrika tumeshindwa kabisa kupanga miji??
Mbona vijiji tunavipanga vizuri tu
Nimezaliwa Mbeya ila mji wetu kwenye mipango mji hayumo kabisaaa