Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Muda wa Tulia umekwisha, na atatoka 2025 hajafanikisha chochote. Tusubiri mbunge mpya kabisa ambaye siyo Sugu wala Tulia ndiyo ataleta hiyo impact.
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.
Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.
Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni, Uzunguni, Ghana, Soko Motola(alikofikia Mandela) na Majengo na mjini kati.
Lakini sehemu ambazo kuna watu wengi zaidi kama Mwanjelwa, Mafiati,Isyesye, Mabatini , Nzovwe na sehemu nyingi hali ni mbaya sana.
Dr Tulia sasa tunakutegemea kuanzisha mpango kabambe utakao wezesha kuchonga barabara kati kati ya hizo squatters. Ofcourse lazima watakaobomolewa inabidi walipwe fidia.
Hili lazima lifanyike sasa, maana 50 years later ndio mafanikio yataonekana.
Magufuli ametuonyesha hili, hapo Kimara-Kibaha.
Dr Tulia hili ukifanya litakumbkwa kwa miaka mingi.
Hao wawili hawawezi kupita kweye chaguzi ya 2025 hata kama vyama vyao vitalazimisha.