Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

True! Ukienda sehemu kama mabatini unaweza kujiuliza hivi waafrika tumeshindwa kabisa kupanga miji??

Mbona vijiji tunavipanga vizuri tu
Mabatini wanajitetea ni mji wa zamani lakini makosa mbona yanarudiwa maeneo mapya kama Uyole,Nsalaga nk?yaani hii inashangaza sana!
Nimezaliwa Mbeya ila mji wetu kwenye mipango mji hayumo kabisaaa
 
Unaz
Unazungumzia ubora wa nyumba au mpangilio wa mji?
Maana unaweza kujikuta umehama mada mkuu.
Karibuni Mbeya tofali mbichi inauzwa Tshs 300🙄
 
Uyole ni CBD toka lini? Acha mji uwe na sehemu ya kupumulia. Mkiona eneo lipo wazi manataka mjaze mavibanda, mnadhani ndiyo maendeleo.
Huyu mhamiaji wa uyole hawezi kukuelewa 😀,eti uyole ndiyo usoni mwa jiji🙄,Ukishuka SONGWE AIRPORT usoni mwa jiji ni wapi?ukiwa masikini pia unakuwa kipofu🤣

Jamaa anawaza kupiga fremu kwenye mashamba ya kilimo😃
 
Ardhi ovyo sana. Kuna eneo langu niliomba nipimiwe ni zaidi ya miaka mitatu sasa. Kila kikenda uswahili tu. Kuna mpima wa manispaa ya ilala ovyo sana. Ni mtu wa Mbeya anashirikiana na wahuni kuzungusha watu wasipate hati zao.
Yaani nimecheka sana!
Huko kwao Mbeya tu hapimi, sasa huku Dar atapimaje?
 
Unaz

Unazungumzia ubora wa nyumba au mpangilio wa mji?
Maana unaweza kujikuta umehama mada mkuu.
Karibuni Mbeya tofali mbichi inauzwa Tshs 300🙄
Watu wengi Mwanjelwa, Mafiati, Nzovwe, Iyunga, Uyole, matofali ndiyo hayo matofali ya udongo na tope lililolkauka.
Wengi hawaja graduate kuingia maswala ya zege,
 
Muendelezo wa Kutegemea Watu badala ya Taasisi kufanya kazi yake na Sheria kufuata mkondo tutaendelea na haya Maigizo kila siku...
  • Hakuna Mipangomiji ?
  • Hakuna Sheria ?
 
Muendelezo wa Kutegemea Watu badala ya Taasisi kufanya kazi yake na Sheria kufuata mkondo tutaendelea na haya Maigizo kila siku...
  • Hakuna Mipangomiji ?
  • Hakuna Sheria ?
Ninyi novices, mpaka sasahao mipango miji na sheria zimekusaidia nini, na tstizo bado lipo!?
 
Ninyi novices, mpaka sasahao mipango miji na sheria zimekusaidia nini, na tstizo bado lipo!?
Sasa kama sheria zipo na mipango miji ipo na tatizo bado lipo hauoni kwamba hapo Tatizo ni nini ? Au ndio mwendelezo wa Band-aiding a leg which needs amputation ?

Nchi isiyofuata sheria wala Taasisi kutokufanya kazi ndio mzizi wa tatizo, na kutegemea maamuzi ya mtu kugusagusa hapa na pale ni sawa na putting lipstick on a pig; sababu huenda hata atakachofanya yeye kisiwe kwa mujibu wala mipango ya experts
 
True, weka lipstick kwa kiti moto ili upate mradi wako.
Tatizo la wasokile ni kufikili they are more intelligent than the rest of them wakati mnaishi nyumba za tope na vyoo vya shimo karne hii mjini Mbeya.
Hii sifa ya kijinga ya masikini jeuri ndiyo mpaka kesho viongozi walioshikilia pochi wanainyanyapaa Mbeya.
Singida sasa hivi wanaimba mapambi hadi kero, lakini wana mawaziri wawili cabinet wakati siye tunabung'aa macho.

Na ninyi mbumbumbu msichoelewa ni kwamba uongozierikalini ni pamoja na kuvutia ngozi kwako kama muwamba goma.

Mtu aliye play his part vizuri kwa Mbeya ni Prof Mwandosya na kiwanja cha ndege alichokipigania. Viherehere mmemchagua Sugu and we had 10 precious wasted years.
 
Nimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri

Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu

Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa

Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO
 
Watu wenyewe wa Mkoa huo ndio hao kina Mwambukusi unategemea nini? Ukuaji,ubishi na kiburi 🤣🤣

Saizi wanaiharibu Mbalizi wakati eneo like kuanzia Songwe Viwandani linbepanvwa vyema ila ndio hivyo Sasa no one cares.
Shida ya mbeya ujuaji mwingi hata mtaalam akiwaeleza Wanamvuruga siasa zimewaharibu Sana ndo maana hata jiji halieleweki kabisa
 
Nimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri

Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu

Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa

Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO
Halmark ya miji ambayo haijapangwa ni kuwa na High Street.
Biashara zote zinapangwa kando ya huo mtaa mkubwa. Huko kwingine ni shaghala bagala.
 
Kuna msemo: unaweza kumtoa mtu Manzese, lakini uwezi kutoa 'umanzese' kwa mtu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…