Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Huku kwetu kila mtu anakomaa ajenge pembezoni mwa barabara kuu(TANZAM)ili iwe rahisi usafiri😁Nimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri
Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu
Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa
Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO
Kwani sifa za kuitwa eneo ni jiji ni zipi?Shida ya mbeya ujuaji mwingi hata mtaalam akiwaeleza Wanamvuruga siasa zimewaharibu Sana ndo maana hata jiji halieleweki kabisa
Mbeya kiuhaki siyo Jiji, ni kijiji kikubwa cha watu wengi.Kwani sifa za kuitwa eneo ni jiji ni zipi?
Kwani sifa za kuitwa eneo ni jiji ni zipi?
Asante mkuu, endelea kutoa somo.Na kwenye ishu ya ujenzi Bora hata mikoa ya njombe na iringa wanajenga nyumba za maana Sana hata kwenye mpangilia angalau wanajitahidi sio mbeya tuwe wakwel asee mfana wa miji ya njombe na makambako View attachment 2829109View attachment 2829117
Sasa kabla ya Sugu mbona miaka yote tangu Uhuru wabunge ni wa CCM, huwezi kumlaumu mbunge aliyekaa miaka 10 kwa suala ambalo ni la kiserikali zaidi. Tukirejea majukumu ya mbunge, Mr Sugu alitimiza wajibu wake vizuri sana. Kama mkuu wa nchi anasema mkichagua mpinzani msahau maendeleo, hapo unategemea nini?True, weka lipstick kwa kiti moto ili upate mradi wako.
Tatizo la wasokile ni kufikili they are more intelligent than the rest of them wakati mnaishi nyumba za tope na vyoo vya shimo karne hii mjini Mbeya.
Hii sifa ya kijinga ya masikini jeuri ndiyo mpaka kesho viongozi walioshikilia pochi wanainyanyapaa Mbeya.
Singida sasa hivi wanaimba mapambi hadi kero, lakini wana mawaziri wawili cabinet wakati siye tunabung'aa macho.
Na ninyi mbumbumbu msichoelewa ni kwamba uongozierikalini ni pamoja na kuvutia ngozi kwako kama muwamba goma.
Mtu aliye play his part vizuri kwa Mbeya ni Prof Mwandosya na kiwanja cha ndege alichokipigania. Viherehere mmemchagua Sugu and we had 10 precious wasted years.
Sehemu hizo Soko Matola, Uhindini, Uzunguni, Ghana zilipangwa na mkoloni na ndiyo maana hadi leo ziko vizuri.Mitaa ya uhindini...soko matola pako bien..nadhani ndo mjini huko..sema kwa sasa mji umehamia mwanjelwa....
Long tym wakati wa kuskongeka mitaa ya soko matola ilitulea...
Haya mambo ya mipango miji Sugu itakuwa kumsingizia bure.Sasa kabla ya Sugu mbona miaka yote tangu Uhuru wabunge ni wa CCM, huwezi kumlaumu mbunge aliyekaa miaka 10 kwa suala ambalo ni la kiserikali zaidi. Tukirejea majukumu ya mbunge, Mr Sugu alitimiza wajibu wake vizuri sana. Kama mkuu wa nchi anasema mkichagua mpinzani msahau maendeleo, hapo unategemea nini?
Karne ya sasa unaona to shit where you eat ndio ujanja..., Sewage system za Bongo zipo vipi au kinyesi na uchafu wote unakwenda kwenye vyanzo vya maji bila treatment ndio maana magonjwa ya ajabu ajabu yamekuwa ni kawaida Wewe unaongelea Mbeya mimi naongelea Tanzania nzima mipango miji haifuatwi (tena master plan nyingine ziliachwa tangia enzi za mkoloni; open spaces zote zinafutiliwa mbali watu wanashindwa kuelewa mipango yote inabidi iangalie mambo matatu; Social; Economic and EnvironmentTrue, weka lipstick kwa kiti moto ili upate mradi wako.
Tatizo la wasokile ni kufikili they are more intelligent than the rest of them wakati mnaishi nyumba za tope na vyoo vya shimo karne hii mjini Mbeya.
Ndio yaleyale Singida na Mbeya hakuna master plan ya muda mfupi na mrefu ? Je inafuatwa ? Au unataka kila waziri akija apeleke vitu kwao no matter kwa wakati huo kuna uhitaji mkubwa wapi yaani wengine wapeleke kwao Highway hata kama hazihitajiki wakati pengine hakuna hata uchochoro (wakati huenda huko pasipo uchochoro ndio chakula inabidi kitoke kitulishe)Hii sifa ya kijinga ya masikini jeuri ndiyo mpaka kesho viongozi walioshikilia pochi wanainyanyapaa Mbeya.
Singida sasa hivi wanaimba mapambi hadi kero, lakini wana mawaziri wawili cabinet wakati siye tunabung'aa macho.
Hii myopic ya umimi ya kwetu wakati Tanzania ni moja wala hauhitaji Passport kwenda popote kufanya lolote ni sawa sawa mwili ni mmoja mkono unakataa kufanya kazi yake ya kupeleka chakula mdomoni ili kulikomoa tumbo wakati ulaji wa tumbo ni manufaa ya huo mkonoNa ninyi mbumbumbu msichoelewa ni kwamba uongozierikalini ni pamoja na kuvutia ngozi kwako kama muwamba goma.
Mtu aliye play his part vizuri kwa Mbeya ni Prof Mwandosya na kiwanja cha ndege alichokipigania. Viherehere mmemchagua Sugu and we had 10 precious wasted years.
Huyu jamaa mpuuzi,anasema Kyela eti mepangwa,ni wapi uko alienda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Apart from loudmouthing you wouldn't be any better given the chance.Karne ya sasa unaona to shit where you eat ndio ujanja..., Sewage system za Bongo zipo vipi au kinyesi na uchafu wote unakwenda kwenye vyanzo vya maji bila treatment ndio maana magonjwa ya ajabu ajabu yamekuwa ni kawaida Wewe unaongelea Mbeya mimi naongelea Tanzania nzima mipango miji haifuatwi (tena master plan nyingine ziliachwa tangia enzi za mkoloni; open spaces zote zinafutiliwa mbali watu wanashindwa kuelewa mipango yote inabidi iangalie mambo matatu; Social; Economic and Environment
Ndio yaleyale Singida na Mbeya hakuna master plan ya muda mfupi na mrefu ? Je inafuatwa ? Au unataka kila waziri akija apeleke vitu kwao no matter kwa wakati huo kuna uhitaji mkubwa wapi yaani wengine wapeleke kwao Highway hata kama hazihitajiki wakati pengine hakuna hata uchochoro (wakati huenda huko pasipo uchochoro ndio chakula inabidi kitoke kitulishe)
Hii myopic ya umimi ya kwetu wakati Tanzania ni moja wala hauhitaji Passport kwenda popote kufanya lolote ni sawa sawa mwili ni mmoja mkono unakataa kufanya kazi yake ya kupeleka chakula mdomoni ili kulikomoa tumbo wakati ulaji wa tumbo ni manufaa ya huo mkono
Did I even ask for the chance ?!! Hii logic ya wapi hii sababu mimi siwezi kupigana masumbwi hata na amateur female boxer ndio siwezi kusema Tyson au Ali kiwango chao kimeshuka ?, Yaani sababu hata timu ya Mtaa siwezi kupata namba ndio siwezi kusema Messi amezeeka au Ronaldo aweke ndaruga kando.... Kwahio wewe sababu sio kuku wala huwezi kutaga yai huwezi kujua Viza ?Apart from loudmouthing you wouldn't be any better given the chance.
Na si ajabu una choo cha kulengesha shit huko uliko.
Ni changamoto kweli lakini nakuhakikishia hakuna kitu Serikali itafanya. Kuanzia Simike hadi Iyunga pako ovyo sana, unapita unaona kama uko kijijini ndani kabisa. Hata maeneo yaliyotanuka miaka ya 2010 kama Ituha nayo mipango miji hawakufanya kazi yao kabisa.Haya mambo ya mipango miji Sugu itakuwa kumsingizia bure.
Hana uwezo wa kuelewa hata kinachotakiwa, ndio maana nikasema a wasted 10 good years.
Tulia si tu ataelewa kinachozungumziwa, lakini kwa international exposure yake kwa sasa, Mbeya inaweza kupata mbia wa kusaidia na ku fund upangaji upya wa jiji la Mbeya.
Hili lazima liwe changamoto la long term kwa Tulia.
Mtuache sisi tumelizika. Mkipanga miji yenu vzr ina ToshaWatu wa Mbeya inabidi wajitafakari sana na wajifunze sana kupajenga kwao vizuri.
Mbeya ni sehemu iliyojengwa hovyo kuliko sehemu zote Tanzania.
Kwa mkoa mzima sehemu iliyopangwa at least ni Kyela tu. Sehwmu nyingine zote ni kama jalala la takataka