Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Huku kwetu kila mtu anakomaa ajenge pembezoni mwa barabara kuu(TANZAM)ili iwe rahisi usafiri😁Nimekaa Mbeya wiki nzima, Mbeya haieleweki vizuri
Huwezi kujua center ni wapi...yaani maduka makubwa na masoko yapo barabarani tu
Mji haujapangiliwa vizuri halafu barabara ni mbovu kwa sehemu kubwa
Nilikuwa nakaa pale SAE mitaa ya TANESCO