Jamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....Tena leo alikuwepo kwenye ibada ya TAG akarudia
Yepi hayo,labda Kama kuna sheria mbiliSawa yote yanaweza kuwa majibu
Ila hata mhusika anaweza kuwa na makosa yake binfsi
Tusiegemee upande mmoja tu
Nyie mach.oko MATAGA mnachekesha sana comment zenu yahnWaache kwenda Kihuni, Mbeya si sehemu ya Kufanyia Uhuni.
Angepewa haki ya kugawa pumzi asingebaki mtu dunianiJamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....
Moyoni huyu mzee wa kulala kwenye mawe km mjusi ni shetani kabisa
tusubiri tutakacho elezwa na mhusika au polisi kwenye taarifa yaoYepi hayo,labda Kama kuna sheria mbili
POLISI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU: Polisi imewataka maafisa wake kusimamia nidhamu na haki wakati wa kusimamia harakati mbalimbali za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu, Benedict Wakulyamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya maafisa wanadhimu wa polisi na wahasibu wa jeshi hilo kutoka mikoa yote nchini.
Hiyo ndiyo elimu nadharia. Tunayo danganywa nayo..
Inategemea kipi kitawapa madaraka makubwa zaidi.Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.
Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Na hilo ndilo litakalofuata, watu watapiga kura za hasira. Nasubiri siku Mh Tulia atakapochukua form nione.kwa kweli nimeshaanga sana nilipoona hii kitu, hawa askari wapaaswa waache hii tabia haikisaidii chama zaidi wanawafanya wapiga kura wamuonee huruma tu huyo mgombea.
Inategemea mana ukiangalia kwa makini wanaowatesa wapinzani ni wale makada wa CCM nandani ya majeshi.Mimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Richard ungekuwa ni timu, basi ungekuwa umeshuka daraja kwenye ujengaji wa hoja. Kusifiwa sio sifa ya kudumu. Ni sawa na mkulima kuisifia mvua iliyonyesha vizuri mpaka akapata mavuno ya kutosha. Siku hiyo mvua ikinyesha na kuleta mafuriko, usitegemee ataendelea kuisifia eti kisa kuna siku aliisifia baada ya kunyesha vyema. Kilichofanya polisi kusifiwa ni kwakuwa walifanya kazi kwa weledi, kinyume na tabia yao ya kunyanyasa wapinzani. Unaposema wanachokozwa unamaanisha nini? Au unaamini kwakuwa wao ni vyombo vya dola, basi wako juu ya sheria, na kitendo chochote cha kuwataka wafuate sheria ni kuwachokoza! Nyie ndio mnaomini kuwa polisi mara zote huwa sahihi, hivyo kumdhalilisha mtu ni sawa.
Haya iwe kama utakavyo weweKuwa na serikali sio ticket ya kumiliki watu
Zama anazibadili nani? magu?? khaaaaa putuu.Hii ni nchi yetu ambao unaodhani wana zama yao warudi chato zama zetu ni haki bin hakiVichwa vyenu vibovu nyie watu?
Umesema mwenyewe akidaiwa ameratibu maandamano bila taratibu.
Alafu unasema hujui sababu ni nini?
Yaani ninyi kiki ndio kila kitu?
Punguzeni usela zama zimebadilika hizi.
Lakini wakati mwingine sio tatizo la jeshi zima ni mtu binafsi na uwezo wake wa kuelewa na kutafakari mamboPOLISI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU: Polisi imewataka maafisa wake kusimamia nidhamu na haki wakati wa kusimamia harakati mbalimbali za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu, Benedict Wakulyamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya maafisa wanadhimu wa polisi na wahasibu wa jeshi hilo kutoka mikoa yote nchini.
Hiyo ndiyo elimu nadharia. Tunayo danganywa nayo..
Achana na Mh Tulia, jana au juzi Mh Lipumba amepokelewa na umati wa watu hapa dar akitokea dodoma, nashangaa kwanini iwe mbeya? au kuna shida nyingine pengine sisi hatujui.Na hilo ndilo litakalofuata, watu watapiga kura za hasira. Nasubiri siku Mh Tulia atakapochukua form nione.
Duuu.... Unamwitaje Mh huicho kidudumtu chenye sura na roho mbaya🤔🤔Na hilo ndilo litakalofuata, watu watapiga kura za hasira. Nasubiri siku Mh Tulia atakapochukua form nione.
sio kila kitu ni Magufuli tu jaribu kuwa na tafakuri kidogo, mbona Mh Lisu anazunguka kote na anapata watu, Mh Lipumba amerudi toka dodoma kapokelewa dar na umati bila shida?Zama anazibadili nani? magu?? khaaaaa putuu.Hii ni nchi yetu ambao unaodhani wana zama yao warudi chato zama zetu ni haki bin haki
Kuna watu wapo kwenye target kitambo tu.sio kila kitu ni Magufuli tu jaribu kuwa na tafakuri kidogo, mbona Mh Lisu anazunguka kote na anapata watu, Mh Lipumba amerudi toka dodoma kapokelewa dar na umati bila shida?