Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 683
Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa.
Maswali ni mengi mno nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
Update,:
Mh Lissu kuingia leo Mbeya hivi tunaongea wanachama na maelfu ya wananchi wamejaa ofisi ya Kanda ya Chadema Kadege
Maswali ni mengi mno nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
Update,:
Mh Lissu kuingia leo Mbeya hivi tunaongea wanachama na maelfu ya wananchi wamejaa ofisi ya Kanda ya Chadema Kadege