guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What matters is what is in your heart.Ujima vs teknolojia
Mzee wa mikapu,ferry ni karibu na kwa bwana yule siku akiwepo pale nitaomba unifikishie salamu zangu za huzuniChande Makapu
Lisu anataka utawala wa sheria hivyo sheria zote zitazingatiwa kwenye mambo.Yake yote Bila kusahau sheria yeyoteUjio wa Lissu unasababisha hadi sharia za mwaka 1963 zinaibuka upya!
Raha kweli kwa ujio wa Lissu maana serikali, ccm, tume, mahakama wote wanacheza mziki wake kwa mitindo tofauti tofauti.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
mAGARI YA CCM YA MATANGAZO YANALIPIWA KODI?Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki kesi mkuuMzee wa mikapu,ferry ni karibu na kwa bwana yule siku akiwepo pale nitaomba unifikishie salamu zangu za huzuni
Jambazi limejificha magogoni,mishuzi inatoka tu,halijuhi la kufanya,ni kutunga Sheria kila siku,walianza na vyombo vya habari vya nje,kujiunga na na vyombo vya ndani,sasa wameibukia kwenye magari,Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa.
Maswali ni mengi mno nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
Tengeneza tiara au kite itangaze kupitia anga. Wengine watangaze kwa mguu.Umesoma kwa kukurupuka.Yawezekana wewe ni ukoo mmoja na wanamkurupuko FC(mafisiem).
Mtoa mada kaeleza vizuri kuwa magari ya matangazo yasajiliwe tena.Maana yake tayari yanatambulika kwa kazi hiyo sasa kwanini iwe kwa mara nyingine.Kwann kipindi hiki, kwanini mbeya tu(ama ni kitaifa?).
Yehodaya shenziTYPE!!
NdiomAGARI YA CCM YA MATANGAZO YANALIPIWA KODI?
Mbona sasa kwa tangazo lao ndio tayari wameshatangaza ujio wa Rais Mtarajiwa mjini Mbeya. Sie wakazi wa SIDO hatukuwa na taarifa ya ujio wa Rais Mtarajiwa wa nchi yetu ila baada ya kusikia katazo ya tangazo ili na kuanza kuulizana tukaambiwa ni kuzuia "publicity'' ya ujio wa Mh Rais mtarajiwa. Ngoja nikanunue kabisa Tshrt cjui zinapatikana wapi....Ni yeye...Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa.
Maswali ni mengi mno nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
Update,:
Mh Lissu kuingia leo Mbeya hivi tunaongea wanachama na maelfu ya wananchi wamejaa ofisi ya Kanda ya Chadema Kadege
Ili wajue what's up, itawabidi kutumia WhatsApp.Bila magari ya matangazo wana Mbeya watahabarishwa kwa what’s up .
AmeenNa am umefanya jambo njema kurudisha avatar picha ya Ngwea. Jua unafuatiliwa kwa karibu kwaiyo jitahidi kuwa ms taarabu na utii sheria za nchi.
SAUH'WAAA