Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

Mbona wana tumia nguvu kubwa bila sababu ? Fly over zote hizo madege kibao wasi wa nini
 
Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
Kama nimeulewa uzi vizuri, tatizo hapa sio kusajiliwa. Magari yalisha sajiliwa ila yanatakiwa kusajiliwa upya. Je usajili wa mwanzo ulikosewa? Ama kuna baadhi ya vipengele vimebadilishwa? Na kama kuna mabadiliko ya vipengele flani flani kwa nini iwe mbeya tu badala ya nchi nzima?
 
Hofu hofu imetamalaki CCM Mpya, kuweni na amani kwa kutegemea na kukubali njia sahihi moja tu, ambayo ni sanduku la kura badala ya kutafuta mbinu zingine kukwepa kuhukumiwa na wananchi.

Njia ya haki na itakayowaweka huru ni ya kidemokrasia isiyo kuwa na gharama za kuhangaika huku na kule kama hii ya kutafuta ushindi wa mezani.
 
Back
Top Bottom