Na ikatokea mwaka huu hakuna lililosajiliwa na ujio wa Tundu Lissu ukwapa alert. Tunaushikuru ujio huu kwani utaliongezea taifa mapato.Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
Haitozuia mafuriko, sugu ataeneza taarifa kwa makamanda wote via whatsapp na other social media.Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamulu gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa
Maswali ni mengi mnoo nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
CCM mnafanya hivyo?Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
These people are exceptionally stupid, they do not know that by behaving like that they are making high publicity of Lisu and Sugu at a high cost of Tulia! Hawajui kuwa wanaamsha hata hasira za washabiki wao!Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa
Maswali ni mengi mnoo nafikiri kila mmoja anaweza kutafakari na kuweka hapa!!!
Sasa hivi wanafukua sheria za mjerumani za wakati wa ujenzi wa reli 1902 na sheria za Pilato na farao waone namna ya kum'bana Lissu tena ninatamani wasiruhusu gari la matangazo hata moja jijini Mbeya nyomi kwa ujio wa Lissu lipo palepale.Ujio wa Lissu unasababisha hadi sharia za mwaka 1963 zinaibuka upya!
Raha kweli kwa ujio wa Lissu maana serikali, ccm, tume, mahakama wote wanacheza mziki wake kwa mitindo tofauti tofauti.
Umesoma kwa kukurupuka.Yawezekana wewe ni ukoo mmoja na wanamkurupuko FC(mafisiem).Magari ya matangazo husajiliwa na kupewa leseni ya biashara ya matangazo na hutakiwa kulipa Kodi kwa mapato Yao Ni utaratibu wa kawaida wa kibiashara
Chande MakapuKweli nchi imebakwa,halafu mbakaji anabaka bila hata kupepesa macho
Ujima vs teknolojiaBila magari ya matangazo wana Mbeya watahabarishwa kwa what’s up .