Hofu hofu imetamalaki CCM Mpya, kuweni na amani kwa kutegemea na kukubali njia sahihi moja tu, ambayo ni sanduku la kura badala ya kutafuta mbinu zingine kukwepa kuhukumiwa na wananchi.
Njia ya haki na itakayowaweka huru ni ya kidemokrasia isiyo kuwa na gharama za kuhangaika huku na kule kama hii ya kutafuta ushindi wa mezani.