Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Alikuwa amempiga mvua chache, jana usiku kaona kipengele fulani kinamtaka ampige mvua za kutosha kuendana na kifungu!
 
Mkuu umetisha sn ameni kubwa
 
Anaenda kubadilisha uhukumu maana ya mwanzo ilikuwa Mdude afungwe maisha gerezani lakini sasa ameona upepo siyo mzuri
Yaani hiki ndio nilichokiona tangu mwanzo. ispokuwa mahakama ilikuwa itende haki lkn haki yenyewe inaonekana haina mashiko ila kiukweli leo hukumu ingepita MDUDE ALIKUWA ANAKULA MVUA MIAKA 30.
Wanaenda kubadilisha
 
Yaani hiki ndio nilichokiona tangu mwanzo. ispokuwa mahakama ilikuwa itende haki lkn haki yenyewe inaonekana haina mashiko ila kiukweli leo hukumu ingepita MDUDE ALIKUWA ANAKULA MVUA MIAKA 30.
Wanaenda kubadilisha
Ndiyo ukweli huo
 
Reactions: BAK
Hizo picha za tatu chini ni fikirishi sana. Mwisho wa siku Acheni Mungu Aitwe Mungu!!
 
Mungu simama na vijana na watoto wetu wa mitaani walioathirikia na madawa ya kulevya.Wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine mkono wa hukumu uwafikie na wale wote wanaoingiza siasa katika masuala haya ambayo si ya kisiasa waumbuke na wahusika wote wanaotetea madawa ya kulevya waumbuke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…