Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

[emoji120] amen
 
Aliyeagiza Mdude afungwe yeye anaoza kaburini, anaweza kufungwa kimwili lakini hawezi kufungwa mawazo yake
Hata mdude akishatumikia adhabu yake kuna siku atakuja kuoza chini ya ardhi.

Mawazo yake ya kimatusi yanadumu kwa wajinga tu
 
Hiyo mimba uliyodungwa na mwendazake itakutoa roho kwa siku lazima umtaje mara 62!

Mdude alikamatwa na cocaine za Mbowe akizisambaza mikoa ya nyanda za juu kusini
 
Kwani bado hajala mvua tyu
Hizo mvua unazomuombea mwenzako zimnyeshee ilihali wewe huzitaki zikunyeshee Kuna siku zitakugeuka na zikuletee gharika! Siku zako za kunyeshewa na mvua ya mawe zipo karibu mno so amua moja utubu au ulete kiburi na kushupaza shingo yakukute!
 
Kwani akishtakiwa kwa MATUSI....
Ndio pamoja na cocain.


Kwanza alianza kutukana, watu wakamlia rada kwamba ni nani huyu hasa anatukana viongozi hovyo? Kumfuatilia kumbe anauza ngada!
 
Ndio pamoja na cocain.


Kwanza alianza kutukana, watu wakamlia rada kwamba ni nani huyu hasa anatukana viongozi hovyo? Kumfuatilia kumbe anauza ngada!
Mkuu unaishi nje ya nchi? Charges za matusi ziliondolewa ndiyo akapewa bambiko la dawa za kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…