Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajihaibisha mkuu sometimes jaribu kukaa kimya ili ujifunze. Ebu soma Penal Code CAP 16 R.E 2019Ilinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
UCCM na ushetani ni vitu viwili vinavyonipa wakati mgumu sana kuvitenganisha. Kijana wa watu katumikia kifungo cha muda wote huo kwa kuwa tishio kwa shetani kutimiza majukumu yake!
Unamkuta kiongozi wa CCM anaongea kama vile CCM imeingia madarakani mwezi moja uliopita. Anasahau alipozaliwa CCM ilikuwa madarani na bendera ya CCM ikipepea chumbani alikozaliwa.
Yeye kalelewa, kakua, kakomaa na sasa naye karithi mkoba wa wazazi wake. Muangalie anavyokaza shindo akidai CCM ni chama imara na yeyote yule atakayethubutu kusema tofauti anyooshwe.
Anyooshwe, ashughulikiwe, apotezwe...yote sawa tu.Tundu Lissu alishughulikiwa, Ben Saanane alipotezwa, Gerald Mwakitalu amenyooshwa; CCM ni ile ile, iko pale pale. ni wale wale na kazi iendelee...kwa kweli shetani hana ndugu!
Huyu hapa ndio Kamanda Gerald Mwakitalu , baada ya ccm Kyela kushindwa kumloga ikaamua kumtengenezea kesi ya uongoTarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Kile kigagula na sura mbayaMiungu watu walaaniwe....
Sura la Roho vinarandana....
Acha upumbavu, hii ilikua ni political case, ukienda kuuliza je waendesha mashitaka walikua na ripoti kuhusu chanzo cha moto ?,je kuna link yeyote kati ya suspect na crime scene?hiyo nyumba ilichomwa moto kwa kutumia nini?je kuna finger prints eneo la tukio?je kuna eye witness?,so sad magereza yetu yamejaa innocent guy'sNdio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
Mchoma nyumbaHuyu hapa ndio Kamanda Gerald Mwakitalu , baada ya ccm Kyela kushindwa kumloga ikaamua kumtengenezea kesi ya uongo
View attachment 2379694
Cheka Leo, kesho utaliaNdio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
Kila ubaya utalipwaAcha upumbavu, hii ilikua ni political case, ukienda kuuliza je waendesha mashitaka walikua na ripoti kuhusu chanzo cha moto ?,je kuna link yeyote kati ya suspect na crime scene?hiyo nyumba ilichomwa moto kwa kutumia nini?je kuna finger prints eneo la tukio?je kuna eye witness?,so sad magereza yetu yamejaa innocent guy's
Kwa hukumu ya haki sio ya kusingiziwa kama hii.Unajihaibisha mkuu sometimes jaribu kukaa kimya ili ujifunze. Ebu soma Penal Code CAP 16 R.E 2019
319. Any person who wilfully and unlawfully sets fire to-
(a) any building or structure whatever, whether completed or not; or
(b) any vessel, whether completed or not; or
(c) any stack of cultivated vegetable produce, or of mineral or veg-
etable fuel; or
(d)a mine, or the workings, fittings or appliances of a mine,
is guilty of a felony, and is liable to imprisonment for life
swadakta !Kwa hukumu ya haki sio ya kusingiziwa kama hii.
Sijui chochote kuhusu kama ilikuwa ni hukumu ya haki au lah, kisheria kuna mapungufu kidogo yakijitokeza (defectives) kuanzia mwanzo wa ukamataji hadi utoaji wa hukumu basi ubatilisha hukumu.Ngoja nisome hiyo judgement nione ni nini kilichomfanya ashinde kesi yaani grounds za appealKwa hukumu ya haki sio ya kusingiziwa kama hii.
Mzee wa Fumbua macho anasema, hakuna kibaya au kizuri kikitendwa na walioserikalini bila ya top kuhusishwa.Bado tuna safari ndefuu ya kusitaarabika. Ndiyo sababu wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Mwendazake alitaka kuua upinzani ila Mwenyezi Mungu kamuaibisha. Pole ndugu yetu.Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Na wale vijana kule kilombero waliofungwa maisha kwa kudaiwa kuchoma moto kituo cha polisi nao waachiwe.Ilinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
Wewe mwenye akili timamu unasemaje? Aendelee kuchoma nyumba za watu sababu kaachiwa?Una akili timamu ?
Eh, kwahiyo,wamebaini haikua kweli. Kwa mtindo huu, kuna Watz wengi wanachakaa huko magereza,wamekosa tu wa kuwasemea.