- Thread starter
- #41
Mahakama ipi imethibitisha kachoma nyumba au ni hisia zako tu.Wewe mwenye akili timamu unasemaje? Aendelee kuchoma nyumba za watu sababu kaachiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama ipi imethibitisha kachoma nyumba au ni hisia zako tu.Wewe mwenye akili timamu unasemaje? Aendelee kuchoma nyumba za watu sababu kaachiwa?
Ndo mendeleo yaliyoletwa na Mwendazake kwenye Mahakama za Tanzania! Hakimu aliyekuwa ametoa humu hii itakuwa tayari alisharamba Teuzi.Ilinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
Mungu hamtupi mja wake
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Bado tuna safari ndefuu ya kusitaarabika. Ndiyo sababu wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.
Safari ndefu ipi!!? Hiyo ndo tunaita utawala wa Sheria, Sasa Kama kungalikuwa hakuna utawala wa Sheria maana ake hata haki ya kukata rufaa isingalipatikanaBado tuna safari ndefuu ya kusitaarabika. Ndiyo sababu wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.
Ni Bora kungekuwa na kifungu ktk katiba kinachoangalia namba ya kuwadia watu wanaopotezewa muda bila sababu na pia mahakimu na majaji wawajibishwe kwa matumizi mabaya ya taaluma zao.
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Kama ni vilaza imekuwaje rufaa yao wameshinda na mtuhumiwa yupo huru sasa.Ndio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
Mahakama za mwanzo na za wilaya ni maafa matupu. Nimeyaona mahakama ya sinza na ya wilaya ya kinondoni. Mahakimu wangu wote walikuwa wanawake tena wanajinadidi kwa mavazi ya kidini, kumbe ni wala rushwa wakubwa
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Ameona kifungo cha maisha haitoshi, majuzi kaamua kutangaza jihad kwamba ''nyookeni nao''. Kuna tatizo pahala kama nchi.Kile kigagula na sura mbaya
Mwendazake Atakata RUFAA huko kuzimu
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Mahakama ni vema ingepanguliwa, na kupata majaji na mahakimu wapya. Yaani wale wenye sifa. Waondolewe wale wasiojulikana ambao walipachikwa na marehemu kwa nia ya kuwakomoa watu asiowataka.
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
======
Ni Gerald Mwakitalu aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 15, 2022 kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Mwakitalu amefutiwa adhabu hiyo iliyotolewa kupitia Mahakama ya Wilaya ya Kyela baada kukata Rufaa ya kipinga hukumu.
Maskini wa akili, huna mchango wowote wa maana kwa yeyote. Waache wenye akili wajadili hoja.Akome kuchoma nyumba za watu
si ajabu hiyo nyumba thamani yake haizidi hata 3milIlinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
Hawa mahakimu na majaji wa Tz waliumbw ana Mungu na wao?Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020.
Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru.
Mimi nimewaza sana yaani from nowhere mtu unampa kesi kifungo cha maisha? Kisa ugomvi wa vyamaUCCM na ushetani ni vitu viwili vinavyonipa wakati mgumu sana kuvitenganisha. Kijana wa watu katumikia kifungo cha muda wote huo kwa kuwa tishio kwa shetani kutimiza majukumu yake!