Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

moto wa milele umuwakie na viboko jumla jumla...
 
Mungu atukuzwe yule fashisti Mungu AENDELEE kishughulika nae huko Jehanum
 
Yanayoshindikana kwa binadamu kwa Mungu yanawezekana.Mahakimu dhalimu watalainiwe milele yote duniani na mbinguni
 
Ilinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
Unajihaibisha mkuu sometimes jaribu kukaa kimya ili ujifunze. Ebu soma Penal Code CAP 16 R.E 2019


319. Any person who wilfully and unlawfully sets fire to-
(a) any building or structure whatever, whether completed or not; or
(b) any vessel, whether completed or not; or
(c) any stack of cultivated vegetable produce, or of mineral or veg-
etable fuel; or
(d)a mine, or the workings, fittings or appliances of a mine,
is guilty of a felony, and is liable to imprisonment for life
 
 
Huyu hapa ndio Kamanda Gerald Mwakitalu , baada ya ccm Kyela kushindwa kumloga ikaamua kumtengenezea kesi ya uongo

 
Ndio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
Acha upumbavu, hii ilikua ni political case, ukienda kuuliza je waendesha mashitaka walikua na ripoti kuhusu chanzo cha moto ?,je kuna link yeyote kati ya suspect na crime scene?hiyo nyumba ilichomwa moto kwa kutumia nini?je kuna finger prints eneo la tukio?je kuna eye witness?,so sad magereza yetu yamejaa innocent guy's
 
Kila ubaya utalipwa
 
Kwa hukumu ya haki sio ya kusingiziwa kama hii.
 
Kwa hukumu ya haki sio ya kusingiziwa kama hii.
Sijui chochote kuhusu kama ilikuwa ni hukumu ya haki au lah, kisheria kuna mapungufu kidogo yakijitokeza (defectives) kuanzia mwanzo wa ukamataji hadi utoaji wa hukumu basi ubatilisha hukumu.Ngoja nisome hiyo judgement nione ni nini kilichomfanya ashinde kesi yaani grounds za appeal
 
Bado tuna safari ndefuu ya kusitaarabika. Ndiyo sababu wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.
Mzee wa Fumbua macho anasema, hakuna kibaya au kizuri kikitendwa na walioserikalini bila ya top kuhusishwa.
Ni kama muziki mwimbaji anaimba na kucheza na fans wanasikiliza na kucheza.
 
Ni laana tu kulitengeneza. UMASKINI, Ebola, ukimwi. Fuulz die

J
 
Mwendazake alitaka kuua upinzani ila Mwenyezi Mungu kamuaibisha. Pole ndugu yetu.
 
Eh, kwahiyo,wamebaini haikua kweli. Kwa mtindo huu, kuna Watz wengi wanachakaa huko magereza,wamekosa tu wa kuwasemea.

Hallelujah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…