Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

Ilinishangaza sana. Yaani kudaiwa kuchoma nyumba ndiyo mtu anafungwa kifungo cha maisha??
Ndo mendeleo yaliyoletwa na Mwendazake kwenye Mahakama za Tanzania! Hakimu aliyekuwa ametoa humu hii itakuwa tayari alisharamba Teuzi.
 
Mungu hamtupi mja wake
 
Bado tuna safari ndefuu ya kusitaarabika. Ndiyo sababu wenzetu wanasonga mbele sisi tunarudi nyuma.
Safari ndefu ipi!!? Hiyo ndo tunaita utawala wa Sheria, Sasa Kama kungalikuwa hakuna utawala wa Sheria maana ake hata haki ya kukata rufaa isingalipatikana
 
Ni Bora kungekuwa na kifungu ktk katiba kinachoangalia namba ya kuwadia watu wanaopotezewa muda bila sababu na pia mahakimu na majaji wawajibishwe kwa matumizi mabaya ya taaluma zao.
 
Ndio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
Kama ni vilaza imekuwaje rufaa yao wameshinda na mtuhumiwa yupo huru sasa.

Hata kama watu wana chuki hii ya kwako ni zaidi na pengine ni ujuha mwingi ulikuzingira maana we wajiona mjuvi wa sheria kumbe debetupu.
 
Ina maana mahakama ilifanya maamuzi ya kipuuzi mwanzoni😂😂 inabidi kwenye katiba mpya kuwe na kipengele cha kuishtaki mahakama😂😂
 
Mahakama za mwanzo na za wilaya ni maafa matupu. Nimeyaona mahakama ya sinza na ya wilaya ya kinondoni. Mahakimu wangu wote walikuwa wanawake tena wanajinadidi kwa mavazi ya kidini, kumbe ni wala rushwa wakubwa
 
Aachane na chama Cha wahuni, CCM Wana huruma sana
 
Mwendazake Atakata RUFAA huko kuzimu
 
Mahakama ni vema ingepanguliwa, na kupata majaji na mahakimu wapya. Yaani wale wenye sifa. Waondolewe wale wasiojulikana ambao walipachikwa na marehemu kwa nia ya kuwakomoa watu asiowataka.

Kipindi cha marehemu, aliua mifumo yote ya utawala. Aluwajaza wasiojulikana kwenye mihimilo yote ili aweze kuimrisha nini kipitishwe na Bunge, nani afungwe, n.k.
 
Hawa mahakimu na majaji wa Tz waliumbw ana Mungu na wao?

Mtu aliyethibitika kuw ana makosa makubwa kutakiwa kifungo cha maisha inawezekana vipi ikatokea kuw ajana gata kosa japo likapungua kutoka kifungo cha maisha akapata hata miaka 20 au 15 jela? Angalau tukasema walijichanganya tu.
Ngoja mie ninyamaze kimya
 
UCCM na ushetani ni vitu viwili vinavyonipa wakati mgumu sana kuvitenganisha. Kijana wa watu katumikia kifungo cha muda wote huo kwa kuwa tishio kwa shetani kutimiza majukumu yake!
Mimi nimewaza sana yaani from nowhere mtu unampa kesi kifungo cha maisha? Kisa ugomvi wa vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…