Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

Hii kumbakiza watu kesi tumeweka kwenye rekodi, wakati sahihi ukifika tutadili na wahusika wote wa matukio haya.
Jinai haiozi. Hizi kesi ziko kwenye randama za mahakama na mawakili mpaka digita platforms zinaisha miaka 1000 mbele
 
Ndio hukumu kwa mtu yoyote anayepatikana na hatia ya kuchoma jengo au shamba. Ndio maana ninasema mawakili wa chadema ni vilaza.
We ndio kilaza na hao mawakili wenu.Yaani unaweza kufanya rulling ya kumfunga mtu maisha then ikaja kuonekana hana kosa lolote?

Kweli hii nido nchi aliyoita Trump jina la ajabu sana na watu wake.

Halafu unakuja hapa kuuliza umakini wa mawakili waliokata rufaa na wakashinda?
 
Shukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema kwa Maana Fadhili zake ni za Milele.

Hukumu ya Mungu ni ya haki.

Takbiriiii..!! AllahuaKbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…