Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Hukumu inajulikana. Serikali inashinda. Hatuna mahakama tuna kusanyiko la Shyster Judges, takataka

Solution ni mapambano, si takataka eti mahakama.

Mungu wa Kike Saa 100 awabariki
Wananchi wazalendo tumefurahi.Mungu ampe uzima na afya,mama Samia,azidi kutuletea maendeleo.
 
Hii point naiunga mkono. Pale ilitakiwa Jeshi liivushe nchi kwenye 'bahari ya Sham' badala yake wakazuia nchi isitoke 'Misri'.
Hapa inatakiwa jeshi lichukue nchi, lisimamie uundwaji wa katiba mpya. Vyama vyote vya siasa vifutwe. Then Inaandaliwa katiba mpya chini ya usimamizi wa kijeshi. Hapo kutakuwa hakuna chama chochote cha siasa. Baada ya hapo viundwe vyama vipya vyenye majina tofauti na hivi. Uitishwe uchaguzi mkuu ndipo jeshi limkabidhi madaraka raisi mwingine ajaye Nukta
 
Stupid ni yule ambaye hawezi kujua kwamba kwa Katiba iliyopo hakuna Uwezekano wa kuonekana Katiba imevunjwa mahali popote !!
Na ndicho kilichotokea na ndicho kitakachotokea siku za usoni as long as Katiba hii iliyopo itaendelea kuwepo !![emoji120]
Toa basi na ushauri wako ni njia gani watu wapite ili kuondokana na hayo
 
Kwa hiyo Mahakama inafanya maamuzi kwa kufuata nini Mihimili mingine inasema na sio kwa kufuata taratobu zake.Kwa hiyo leo Rais akitoa hoja fulani afungwe atafungwa bila Mahakama kuuliza sababu kwa kuwa tu Mhimili mwingine umesema?
 
Sasa kama ni hivo kwa nini mulikwenda kufungua hiyo kesi?
 
Hukumu ya kisanii, majaji wanataka vifungu vyenye makosa virekebishwe, badala ya kutoa amri waseme ule mkataba wa IGA ni batili, hii ngoma lazima iende mbele zaidi, wajinga wacha waendelee kushangilia wasichokijua.
 
Naona umeshakunywa Highlife unaropoka tu
 
Penye udhia pemyeza rupia .

WAAFRIKA ni corupt sana .

Kama Wafanyakazi Wa bandari na ameshindwa kutukana na rushwa basi Kila MAHALI ni rushwa tupu.
Bunge rushwa ,Serikali rushwa ,Kila MAHALI ni rushwa ndio Maana wawekezaji Hawana Imani na mahakama inayoongizwa na jaji Mweusi .

Tutarudi kwenye utumwa rasmi Chini ya utawala Wa CCM na mihimili yake yote yote.

Bila CCM kufa hakuna mabadiliko Tanzania Wa Tanganyika.

Ni zamu ya Watanganyika kulia Chini ya CCM lakini kilio cha Wazanizibari kitakua kikubwa zaidí ni muda tu.
 
Hakika, hatua inayofuata mahakama ya rufaa, nao wakiwa wagumu kuelewa, kitakachofuata kitajulikana mbele ya safari, muhimu wasaliti watambue, hii ngoma bado mbichi kabisa, ile michezo yao ya kitoto safari hii waisahau.

Kukimbizana bungeni kujaribu kubadilisha sheria, ili kuruhusu ule uhuni waliofanya kwenye ule mkataba wa hovyo, huo mchezo wa kitoto wanaofanya utawasononesha wao na vizazi vyao.
 
simu moja tu toka juu intosha kubatilisha hukumu
 
Piga namba hii uongee na wenye jeshi: Phone : +255687840591
 
Ni ndoto za alinacha. Unadhani mahakama ni kikao cha kunywa pombe kwamba kila mtu anasema kivyake? Mwabukusi et al wameshindwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…