Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Ila ingeamua in favour of nyie ndio ingekuwa imetenda Haki ππππIlitegemewa maana Rostam alisema huwa inapigwa simu moja tu kutoka serikalini kwenda mahakamani
Mabilioni yapi? Wale waliochanga hela ndio wameshaliwa hivyo ππNi sawa, cha maana haya mabilioni tunalipa wote
Mabilioni yapi? Wale waliochanga hela ndio wameshaliwa hivyo ππ
Hilo swali litajibiwa na serikali, kuwa inataka iwejeSerikali iuze Bandari Ili iwaje?
Hamna hoja,kwani kama ni Rais Kuagiza lazima aende Mbeya?Nanenane ya Mbeya imezaa matunda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maagizo kutoka ikulu
Chalii πππSasa utaijibia dhamira ya mtu? ajibu mwenyewe kuwa anauza ili iweje
Mahakama imehalalisha dili sio
Pwaaaaa ππππMajaji nao wanahsi utamu wa asali