Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Kumbe unaweza kuvunja sheria za nchi alafu Mahamaka ikasema sio issue?
 
Nikikumbuka maneno ya mfanyabishara R., Kuhairishwa kwa hukumu na safari ya mama kule mbeya si dalili nzuri kabisa kwa upande wa Watanganyika juu ya maamuzi ya leo mahakamani,

Alisema ukweli, and the truth is hii nchi ina muhimili mmoja tu. Mihimili mingine ni geresha
 
𝑆𝑖𝑠𝑖 π‘Šπ‘Žπ‘‘π‘Žπ‘›π‘”π‘Žπ‘›π‘¦π‘–π‘˜π‘Ž π‘π‘Žπ‘›π‘Ž....π‘˜π‘€π‘Ž β„Žπ‘–π‘¦π‘œ π‘˜π‘’π‘›π‘Ž π‘Žπ‘™π‘œπ‘‘π‘’π‘”π‘’π‘šπ‘’π‘Ž β„Žπ‘–π‘– π‘˜π‘’π‘ π‘– π‘‘π‘’π‘‘π‘Žπ‘ β„Žπ‘–π‘›π‘‘π‘Ž????


π‘€π‘Žπ‘π‘Žπ‘šπ‘π‘Žπ‘›π‘œ π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘¦π‘œπ‘“π‘Žπ‘›π‘¦π‘Ž πΆβ„Žπ‘Žπ‘‘π‘’π‘šπ‘Ž π‘›π‘Ž π‘Šπ‘Žπ‘§π‘Žπ‘™π‘’π‘›π‘‘π‘œ 𝑀𝑒𝑛𝑔𝑖𝑛𝑒 π‘˜π‘–π‘›π‘Ž π·π‘Ÿ π‘†π‘™π‘Žπ‘Ž π‘›π‘‘π‘œ π‘¦π‘Žπ‘›π‘Žπ‘‘π‘Žπ‘˜π‘–π‘€π‘Ž π‘˜π‘’π‘π‘’π‘€π‘Ž π‘˜π‘–π‘π‘Žπ‘’π‘šπ‘π‘’π‘™π‘’...π‘€π‘Žβ„Žπ‘Žπ‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž 𝑧𝑒𝑑𝑒 π‘ π‘–π‘œ β„Žπ‘’π‘Ÿπ‘’ π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘π‘Ž πΎπ‘’π‘›π‘¦π‘Ž!
 
Hakuna cha kushangaa, hakuna jaji wa kukataa maelekezo ya samia/CJ na wengine. Hizi ni takataka kama takataka zingine!
 
Jaji Ndunguru: Kuhusu hoja kwamba Emirati ya Dubai sio dola, tumepitia Montevideo Convention, tumeona Emirati ya Dubai inakidhi vigezo vingine lakini tunapata mashaka kuhusu uwezo wa Emirati hiyo kuingia kwenye mikataba ya kimataifa.
Kazi kweli kweli.
Hakuna haja ya kuwa na mahakama. Uwepo wa mahakama Tanzania ni upotevu wa rasilimali. Mahakama zifutwe nchini pamoja na bunge ili tuongozwe na Rais pekee.
 
Watu humu huwa wajuaji sana mpaka wanapitiliza ! πŸ˜…
Waswahili husema ujanja mwingi huondoa maarifa !πŸ˜…πŸ™
Katiba ya Nchi hii imewapa madaraka makubwa sana wakubwa wa Nchi kiasi kwamba hakuna mahali popote inaweza kuonekana eti Mkuu amevunja Katiba !
Hata JPM hakuna mahali aliivunja Katiba !πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Hakuna cha kushangaa, hakuna jaji wa kukataa maelekezo ya samia/CJ na wengine. Hizi ni takataka kama takataka zingine!
JWTZ mko wapi kufanya ya Niger? Hawa ma judged na watawala fofofo watupiliwe mbali.. ndicho tunachotaka toka kwenu au mpaka mbinafsishwe?
 
Unaona hata uzi /thread hauendi sna maana watu walishajua hukumu itakuwaje.
Mwenye picha za hawa wahuni watatu atuwekee


ndiye huyu?
 
Mahakama imesema kwamba inatambua baadhi ya KASORO & MAKOSA yaliyopo kwenye mkataba wa banadari na kwamba ni Kinyume cha sheria namba 5 ya ulinzi wa rasilimali ya mwaka 2017.
Hata hivyo imesema haiwezi kutoa AMRI/ORDER yoyote juu ya hilo
 
Tulijua tuuuu hata walioshitaki nao walijua tuuuu hiyo kesi watagaragazwa asubuhiii. Yaaani serikali ikiruhusu kila inachofanya halawanaibuka makundi ya watu na kuwekea pingamiziii, itakwamaaa.

Uwekezaji hauna shida kiasi kwa jinsi wanavyovumisha na kuhofisha watu. Serikali imetoa mda raia watoe maoni na mapendekezoo kwa maboreshoo, sasa badala ya watu kutoa maoni walikimbilia mahakamaniiii. Duuuuuuh ni shida kwelikweliii
 
Kwa kilichopelepelekwa Mahakamani basi mi nafikiri Mahakama ilipaswa kwenda mbali zaidi kwa Maslah ya Taifa.
Mahakama.zio shule ya kufundisha sheria,mahakama iliombwa itafsiri sheria kuhusu uhalali wa mkataba ule.

Kaka hauhitaji kuwa mwanasheria kwamba IGA hauwezi kuichallange kwa sheria za Tanzania bali mikataba ya kioperesheni ndio unaweza kufanya hivyo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mahakama imesema kwamba inatambua baadhi ya KASORO & MAKOSA yaliyopo kwenye mkataba wa banadari na kwamba ni Kinyume cha sheria namba 5 ya ulinzi wa rasilimali ya mwaka 2017.
Hata hivyo imesema haiwezi kutoa AMRI/ORDER yoyote juu ya hilo
Unaleta habari nusu nusu una haraka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…